Steven Wassira ndani ya fashion

Steven Wassira ndani ya fashion

Mbona sioni chaajabu hapo,toeni hoja,Je kwa hilo linatosha kuwa fisadi?
Twende naye utake usitake 2015 inamuhusu sana huyu Mh......

Hapo majukumu ya wizara ya KILIMO tu anachanganyikiwa akiwa rais halafu asikie kiteto watu wanakula mizizi! hajakaa sawa anapewa taarifa Mara watu wanashindia maembe mabichi si ndo atatoka na chupi tu!?? Hapa tukubali muda umeshamwacha huyu awaachie wenye nguvu!!
 
Hapa ndio unajua kwa nini mfalme Sulemani alimuomba Mungu ampatie busara. Umri kama wa huyu kikongwe bado anataka kujitwika majukumu mazito ya urais.
 

Attachments

  • 1423431076304.jpg
    1423431076304.jpg
    16.6 KB · Views: 469
Kuhukumu mtu kwa picha ya Mnato haina tija....Kwamba mleta maada umeleta hiyo picha kama sehemu ya kampeni zako??Unaihisianisha picha na urais??Kwamba katika yotee ya kumchafua huyu Mzee umeliona la picha hii tu??
Hii haitoshi kumchafua...2015 tunaenda na SM Wassira,kwa uadilfu na uchapa kazi

Kiongozi makini huwezi kuvaa namna hiyo mbele ya jamii unayotegemea kuwaongoza!wacha uzandiki hata kama unamtetea huyo wasira wako unampenda pekee yako.
 
Hapa ndio unajua kwa nini mfalme Sulemani alimuomba Mungu ampatie busara. Umri kama wa huyu kikongwe bado anataka kujitwika majukumu mazito ya urais.

Mbona uso unaungua wakati ni yeye na viyoyozi, viyoyozi na yeye?

Bado hajaingia saloon
 
Bado hajaingia saloon

Asee hizo makeup anazotumia kiboko. Ila fursa ninayoiona ni hii, akiwa rais halafu tukatumia picha yake kwenye sarafu zetu basi fedha ya nchi yetu itakuwa na thamani kubwa kuliko zote dunia. Napendekeza hii picha ya saloon ituzwe vizuri na pahala salama.
 
10959569_766855543368231_2907258364177612061_n.jpg
Wanawake mnavumilia mengi, maana hicho kitu kilichofichwa ndani ya sarawili sio cha kitoto.
 
haya ndo madhara ya kufulia suti kwenye beseni kwa kutumia sabuni ya omo
 
Wazee wa itifaki walikuwa usingizini nini? Huo ufungaji wa vishikizo ni kigezo tosha kumuondoa kwenye uwaziri!
 
kwa wale waliosema ile ya jana ni photoshop waseme na hii maana huyo mzee wa kushoto kwenye "THE WASSIRA'S COAT PART 1" alionekana nyuma yakeIPOSHINDA WASSIRA OCTOBER MIMI NAHAMIA SUDAN KUSINI..ANAYO FASHION SENSE, HE IS PHOTOGENIC NA SWAGA ZIKO ON
 

Attachments

  • wasira pt2.jpg
    wasira pt2.jpg
    70.4 KB · Views: 245
Back
Top Bottom