Steven Wassira kaumbuka Igunga

mna uhakika kwamba wassira alitoa jibu akiwa macho?? yawezekana alikua usingizini maana kwa kulala hajambo ati
 
Mbona sijaona kitu chochote kinachoonesha kuwa Wassira ameumbuka?
Nilichokiona mimi ni matumizi tu mabaya ya Rasilimali. Kutumia mic kwenye mkutano uliohudhuriwa na watu 20 (Ishirini) ni ukosefu wa akili. Ni heri tu angekodisha hata darasa moja akawaweka wale watu aliokuwa anawahutubia angeongea nao tu ki-kawaida. Itafika mahali hawa viongozi wa CCM watakuwa wanatumia mic hata pale watakapokuwa wanaongea na wake zao kwa jinsi wanavyozipenda na kuzitumia bila kuangalia Idadi ya wanaoongea nao.
 
mzee wa kulala.ashukuru mungu kampa pesa,Je kama asingekuwa na pesa wasira angekuwaje ?
 
Mbona sijaona kitu chochote kinachoonesha kuwa Wassira ameumbuka?

Tata mbona unakuwa kama unakunywa bangi badala ya kuvuta bangi ?Kaumbuka maana katumia biblia kumuuliza Kafumu then akaulizwa swali akawa ana waya waya anasema mimi ni waziri na akaacha mada akisema ya Rostma aaulizwe yeye .Si kuumbuka ?
 
Nina wasiwasi na uwezo kufikiri wa mzee Wasira.
 
HIvi tutaendelea na mtindo huu mpaka lini? achaneni na wakina wsira, soko mbeyaa linateketea. Waache wafu waongozane, tuangalie masuala yanayohitaji kutatuliwa. Tafadhali mods naomba muipost hii
 
<font color="#0000cd"><b>ananikumbusha kipindi cha chama kimoja </b></font><font color="#008000">Tuntemeke Sanga </font><font color="#0000cd"><b>alimjubu mpiga kura kuwa kura yake moja tu haitamsaidia</b></font>
<br />
<br />
HAHAHA HATA MKUU ALISHASEMA KUWA KURA ZOOOTE ZA WAFANYAKAZ NCHINI SIO ISHU HAZTAKI YE ATASHINDA TU HATA WASIPOMPATIA
 
Mimi hupenda kusema, ''kuna wakati unaweza kudanganya watu,ila huwezi danganya watu wakati wote''
 

Wakati unasubiri majibu ya maswali yako ni vizuri kukumbuka kwamba watekelezaji wa sheria ndio hao hao wanaoivunja, sasa usitegemee wassira kuwajibika ama kuwajibishwa kwakuwa amekwenda igunga kujaribu kukinusuru chama kilichompa ulaji serikalini kisivuliwe nguo.

Labda tukishakuwa na katiba mpya tutalazimika kuzingatia maswali yako na kuyawekea sheria kali na wasimamizi makini wa hizo sheria.
 
Tufanye nini watanzania ili huu mchakato wa kuandika KATIBA YE2, utekelezwe mapema ? Kama uhalisia ulivyo viongozi we2 ndio hao wanawaza uchaguzi! hivi tutafika kweli tunakotaka watz kwa aina hii ya viongozi?

Hapo aliokwenda kuongea nao akijua ni wanakijiji fulani tu atawadanganya wamemtoa kamasi je, masuala mazito ya wizara atayaweza? Hivi hakutegemea swali kama hilo? Hapo hawajamuuliza kwa nini anatumia muda wa serikali kufanya kazi ya chama. Uchaguzi wa Igunga ni wana igunga na viongozi wa vyama sasa hawa wa serikali wanajihusisha kwa nini? Hata kama angetumia budget ya chama (ambayo siyo kweli) bado ametuibia watanzania muda wetu. Chama kimechoka kifikra hiki!!!
 

nitajinyonga mimi!!?
 
Wazungu wanasema " nitajie rafiki yako ni nani nami nitakwambia wewe ni mtu wa namna gani" Wassira ni rafiki wa kafumu? Maskini Peter Kafumu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…