GE2025 Stephen Wasira: CCM Chama kikubwa hakiwezi kugombana na Mpina

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,446
Reaction score
2,093
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesema CCM haina ugomvi na aliyekuwa Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina, kwa kuwa Chama kikubwa hakiwezi kugombana na mtu binafsi.

Wasira alieleza hayo jana, wilayani Kisesa Mkoa wa Simiyu, alipokutana na viongozi na wanachama wa CCM katika kikao cha ndani kuvunja makundi na kuwaweka pamoja wana CCM ili kuwa na nguvu ya pamoja kusaka ushindi wa mgombea urais Dk. Samia Suluhu Hassan, wagombea ubunge na udiwani wa mkoa huo.

“CCM Chama kikubwa sana katika Afrika, wengine wanakuja kutuuliza nyinyi mnaendeleaje, halafu wasikie eti Chama kinagombana na Mpina, hapana, sisi hatuna ugomvi na Mpina.

“Ndugu zake Mpina mleeni Mpina kiakili wakati atakapokuwa amekosa urais ili aendelee kuwa mtu mzuri na mwanakijiji wa Mwandoya mzuri. Kazi ya kumlea itakuwa ya familia na majirani zake kwa sababu urais hawezi kupata tunajua.

“Pia hatumwambii ukikosa urudi ni hiyari yake vilevile, ila akirudi tutampokea, lakini hatumwambii lazima urudi maana si lazima awe Rais anaweza kuwa mwanachama wa kawaida wa chama chake kipya, lakini ana kazi kweli maana hapa Kisesa mwanachama wa hicho chama chake kipya ni yeye mwenyewe,” alisema

1757327093307.png

Chanzo: Jambo TV
 
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (@ccm_tanzania) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesema CCM haina ugomvi na aliyekuwa Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina, kwa kuwa Chama kikubwa hakiwezi kugombana na mtu binafsi.

Wasira alieleza hayo jana, wilayani Kisesa Mkoa wa Simiyu, alipokutana na viongozi na wanachama wa CCM katika kikao cha ndani kuvunja makundi na kuwaweka pamoja wana CCM ili kuwa na nguvu ya pamoja kusaka ushindi wa mgombea urais Dk. Samia Suluhu Hassan, wagombea ubunge na udiwani wa mkoa huo.

“CCM Chama kikubwa sana katika Afrika, wengine wanakuja kutuuliza nyinyi mnaendeleaje, halafu wasikie eti Chama kinagombana na Mpina, hapana, sisi hatuna ugomvi na Mpina.

“Ndugu zake Mpina mleeni Mpina kiakili wakati atakapokuwa amekosa urais ili aendelee kuwa mtu mzuri na mwanakijiji wa Mwandoya mzuri. Kazi ya kumlea itakuwa ya familia na majirani zake kwa sababu urais hawezi kupata tunajua.

“Pia hatumwambii ukikosa urudi ni hiyari yake vilevile, ila akirudi tutampokea, lakini hatumwambii lazima urudi maana si lazima awe Rais anaweza kuwa mwanachama wa kawaida wa chama chake kipya, lakini ana kazi kweli maana hapa Kisesa mwanachama wa hicho chama chake kipya ni yeye mwenyewe,” alisema.
 
ephen_ nimekumbuka utotoni tulicheza ile michezo ya kula tumbakishie baba , kula tumbakishie baba, halafu upande kijiti kitaanguka analambwa kwenzi😅
 
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesema CCM haina ugomvi na aliyekuwa Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina, kwa kuwa Chama kikubwa hakiwezi kugombana na mtu binafsi.

Wasira alieleza hayo wilayani Kisesa Mkoa wa Simiyu, alipokutana na viongozi na wanachama wa CCM katika kikao cha ndani kuvunja makundi na kuwaweka pamoja wana CCM ili kuwa na nguvu ya pamoja kusaka ushindi wa mgombea urais Dk. Samia Suluhu Hassan, wagombea ubunge na udiwani wa mkoa huo.

Soma pia: Kukubalika na kuaminika kwa Tanzania kimataifa ni matokeo ya utawala bora wa kisheria chini ya uongozi madhubuti wa Rais Samia

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesema CCM haina ugomvi na aliyekuwa Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina, kwa kuwa Chama kikubwa hakiwezi kugombana na mtu binafsi.

Wasira alieleza hayo wilayani Kisesa Mkoa wa Simiyu, alipokutana na viongozi na wanachama wa CCM katika kikao cha ndani kuvunja makundi na kuwaweka pamoja wana CCM ili kuwa na nguvu ya pamoja kusaka ushindi wa mgombea urais Dk. Samia Suluhu Hassan, wagombea ubunge na udiwani wa mkoa huo.

Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Wasira amesema chama hicho hakina ugomvi na Mgombea Urais wa Tanzania kupitia ACT Wazalendo, Luhaga Mpina.
 
KAKIMBILIA KWA MPINA TENA.Kweli pole pole kidole cha makalio ccm
 
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesema CCM haina ugomvi na aliyekuwa Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina, kwa kuwa Chama kikubwa hakiwezi kugombana na mtu binafsi.

Wasira alieleza hayo wilayani Kisesa Mkoa wa Simiyu, alipokutana na viongozi na wanachama wa CCM katika kikao cha ndani kuvunja makundi na kuwaweka pamoja wana CCM ili kuwa na nguvu ya pamoja kusaka ushindi wa mgombea urais Dk. Samia Suluhu Hassan, wagombea ubunge na udiwani wa mkoa huo.
 
Huyu akalee wajukuu, mtu yupo serikalini awamu zote ,,,,

Umri umemtupa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom