PreGE2025 Stephen Wasira akutana na Kadinali Protase Rugambwa Tabora

PreGE2025 Stephen Wasira akutana na Kadinali Protase Rugambwa Tabora

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Nasikiliza tu kusikia kitakacho semwa au kitakacho achwa kusemwa.

Aliyetoa onyo anawajuwa, ndiyo maana nguvu kubwa zinatumika sasa hivi kuwanyamazisha hata kwa vitisho. Ule mkasa wa Bandari, baada ya kuwalaghai na kuwahadaa, na kuwatia aibu kubwa, sasa anajiandaa kwa njia mbalimbali kuwaweka mstarini. Hata kuwahonga pesa(RUSHWA) kwake haikuwa tatizo, na kama hilo halitatosha, vitisho na njia zingine mbadala zitatumika.
Hata walipoitwa ikuru na kulaghaiwa, waandaaji wa tukio la hafla walijua wazi kuwa hawa viongozi wa dini wanapenda sana mialiko ya Ikulu, hivyo tukiwaita tu watakubali na kuwaingiza mkenge.

Wajifunze na wawemakini, wasipende sana mialiko ya viongozi wa serikali Bali wajikite kwenye msimamo wa uchungaji wao. Pia waache kupokeapokea misaada ya kutoka Kwa viongozi kama vile; misaada ya ujenzi wa nyumba za ibada Bali watuachie waumini tujenge wenyewe. Maana utasikia ooo! Kiongozi X kaonngoza Harambe ya ujenzi wa kanisa Fulani. Hakika inatia kinyaa!
 
KANISA KATOLIKI HALIJAKEMEA MATENDO ANAOFANYIWA lISU!
 
Back
Top Bottom