Nikiwa makini kabisa kuendelea kusikiliza mjadala wa bunge,Inginia Stella Manyanya amemtolea kashfa Dr pamoja na mkewe Josephine,adai Dr alienda kijijini kwake na kuwatangazia wananchi wake wasifanye kazi na kama pilau ikipikwa ote waende kwake.Amtuhumu pia mke wa Dr [Josephine] kuwa anamtumia ujumbe wa kukashifu kwa njia ya mtandao;akiwa ameshangiliwa na kupigiwa meza,Manyanya aongeza kuwa Dr Slaa hafai kuwa raisMy take;Kauli ya Manyanya sidhani kama inaukweli wowote zaidi ya kumchafua Dr na familia yake