kWA akili yangu ya kawaida ambayo haijapata kupanuka sana na kuitwa injinia,kwanza yule SI mchumba wa slaa ni mke halali mana sheria inaliweka hili wazi.
Pili stella MATOMATO ni mpuuzi mana cjawai ona tamko hata moja la Dr. Kuwakataza watu kufanya kazi.
Tatu sio lazima mwanaCCM ukitaka kung' aa bungeni ukipake matope chadema,jana beatrice shelukindo kaiDISI jF leo Dr slaa Kadisiwa na Stella MATOMATO.inamana Ccm Haina hoja ya msingi?
Ushauri;ccm mnakufa na mnajitaidi kuwapaka matope wengine.kawadanganyeni wazungu wabongo wameshawashtukia.
Viva CHADEMA,UMMA UTASHINDAA!!