STATUS za wana chit-chat mapema mwaka huu 2013

Mwenyekiti wa penda penda ni Erickb52 na Mr Rocky ndio katibu wake....hawa ni viongozi mpaka 2099 utakapofanyika uchaguzi mwingine.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Sasa mbona matendo yamekupa wewe nafasi na kuwazidi kwa mbaali
 
Last edited by a moderator:

Baba V! Baba V! Baba V!
We endelea tu.
Kwani mimi sio bikra.
Kwani Bikira ni lazima iwe ya kizinda tu.
Acha zengwe wewe,basi nioe wewe nifaidi Mafao ya Pensheni yako ya Uzeeni.
 
Last edited by a moderator:
Talaka haitumwi kwa sms dogo, vigezo na masharti kuzingatiwa,, Mamndenyi sogea pande hii..!

Nimepitia hansard yangu ya ndoa na sijaona jina la Mamndenyi....
Kwa sasa nipo kwenye mazungumzo mazito na lara 1 ili tufanye fungate rasmi na majungu yote yaishe.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Sasa mbona matendo yamekupa wewe nafasi na kuwazidi kwa mbaali
Baba V hebu acha kumchafua mwana wa Mungu...
Hapa nipo kwenye mchakato wa kuanzisha kanisa....otea nani atakuwa mama mchungaji...

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Baba V! Baba V! Baba V!
We endelea tu.
Kwani mimi sio bikra.
Kwani Bikira ni lazima iwe ya kizinda tu.
Acha zengwe wewe,basi nioe wewe nifaidi Mafao ya Pensheni yako ya Uzeeni.

Kumbe bikra zipo za aina nyingi eeh! nilikuwa sijui ati!? kuhusu mimi kukuoa ni wazo zuri ila naogopa presha uzeeni huku
 
Last edited by a moderator:
Baba V hebu acha kumchafua mwana wa Mungu...
Hapa nipo kwenye mchakato wa kuanzisha kanisa....otea nani atakuwa mama mchungaji...

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Hongera kwa ujasiriamali aisee, naskia hata Dotnata ameanzisha la kwake, ukishaanzisha tu mualike Lowassani, hutakosa mil.10, kuhusu nani atakuwa mama mchungaji nachanganyikiwa, nahisg kila jumapili atakuwa anakuwepo mama mchungaji mwingine
 
Last edited by a moderator:
Ndoa yangu na Madame B ni mojawapo ya ndoa zilizo imara kama simba.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mwenyekiti Baba V... ujue nasubiri kwa hamu sana tamko lako???????
 
Last edited by a moderator:
Nimepitia hansard yangu ya ndoa na sijaona jina la Mamndenyi....
Kwa sasa nipo kwenye mazungumzo mazito na lara 1 ili tufanye fungate rasmi na majungu yote yaishe.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Hapo ndo penyewe..
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:

Unasubiri meli airport????????
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…