Stats: Tanzania has 23 million internet Subscribers and about 40 million mobile subscribers

Zote hizi ni policies za serikali kuwezesha bei ndogo ya Internet EA nzima, bei ndogo za simu, setting prices ambazo makampuni ya simu yanacharge, allowing different telecommunacation companies to access this market, yote hayo na mengine mengi ni kwa ridhaa ya serikali.
Sasa jifanyeni mnataka kuruka mkojo, mkakanyage mavi.
Binafsi nimekuelewa.
 
Internet device mzee ndio inasomwa sio line, nenda shule
Wewe boya kweli. Na wanaomiliki simu 3 hadi 5 na zote zina line za internet...ukihesabu hizo simu za mtu mmoja utasema ni 3 or 5 subscribers wakati zinamilikiwa na mtu mmoja? Ona unavyojichanganya mwenyewe!
 
Kuna mawili hapa, aidha huna akili timamu au ni chuki juu ya serikali yako.

Hujui umuhimu wa serikali kwenye hilo?
Jibu swali. Serikali huwapa shilingi ngapi Vodacom, Airtel, tiGO kujenga minara ya simu?
 
Hivi huwa mna nini kichwani?
Jibu swali acha kujitekenya mwenyewe na kucheka. Serikali inayapa ruzuku kiasi gani makampuni ya simu zaidi ya kila mwaka kupandisha gharama za kupiga simu hadi kufikia hatua makampuni yakabuni mfumo wa ununuzi wa data na airtime kwa bundles ili kujikomboa na kibano cha serikali yako ya CCM?
 
Kwahiyo mkuu kwa nilivyo kuelewa mchango wa serikali ni kutoa ruzuku tu?
 
Kwahiyo mkuu kwa nilivyo kuelewa mchango wa serikali ni kutoa ruzuku tu?
Mchango mwingine wa serikali yetu ya CCM ni kuongeza kodi ya kupiga simu, SMS na manunuzi ya data na kuwafanya wenye makampuni ya simu kubuni manunuzi kwa njia ya bundles ili kuwakomboa wateja wao.
 
Mchango mwingine wa serikali yetu ya CCM ni kuongeza kodi ya kupiga simu, SMS na manunuzi ya data na kuwafanya wenye makampuni ya simu kubuni manunuzi kwa njia ya bundles ili kuwakomboa wateja wao.
Sawa mkuu,siku njema.
 
Wewe boya kweli. Na wanaomiliki simu 3 hadi 5 na zote zina line za internet...ukihesabu hizo simu za mtu mmoja utasema ni 3 or 5 subscribers wakati zinamilikiwa na mtu mmoja? Ona unavyojichanganya mwenyewe!
Eti simu 3 or 5,utakua na mapepo. Unatumia vipi simu 3 or 5 kwa wakati mmoja.?
 
Hakuna jinsi? Listen to your unashamed self.
All these are government policies either you like it or you don't, serikali huset minimum and max price zina jina lake kiuchumi, angalia bei ya Internet, airtime, SMS Kenya, linganisha na Tz. Angalia ruhusa ya variety kampuni za simu Tz, huwezi kuta hii nchi nyingi Africa because they prefer monopolizing the markets, sababu vigogo huwa na ubia na hizo kampuni.
Hizi simu zimeshushiwa kodi na serikali, hence easy accessibility yake. Etc.
Sasa mtu timamu mwenye uwezo wa kulog in JF alafu bila hiyana anasema serikali hakuna jinsi imesaidia hilo suala, binafsi huwa namuona ni nyumbu tu.
Embu acha kupotosha mambo unayosoma kwenye makaratasi ya economics darasani ukafkiri ni applicable real life

Kenya na ug internet cost zipo high sababu hakuna competition kabisa kwa uganda ilikuwepo warid ila ikanunuliwa na airtel pia kenya safaricom is almost a monopoly

Kuhusu simu hata uganda simu cheap sana kuliko TZ sasa cjui unaposema tumewazidi unatumia statistics gani....... Hata kenya pia kma sio wao kutuzidi thamani ya pesa bado kwao simu ni cheap kuliko kwetu sasa unaposema tumewazidi which statistics are u basing on??

Hakuna cha government intervention ya policy yoyote ni vile tu tuna port basi na cmu nyingi zimejazana humu ni cheap yaani vitecno ndio 70% ila kma unasema phone ni cheap niambie other types za cmu kma iphone kama ni cheap tz kulinganisha kenya ug rwanda ??

Acha kukariri mkuu be exposed..... hakuna ambacho serikali imesaidia zaidi mitandao hii inapunguza dakika na mb kila cku na serikali haijaingilia chochote ukizingatia hata kuna kampuni za cmu zilikwepa kodi na zimelipwa juzi tu alipoingia magu alafu ndio unasema ni juhudi za serikali??

Shame on you
 
Pamoja na ongezeko la watumiaji wa internet kuwa kubwa sana,lakini inasikitisha sana,asilimia 90 ya watumiaji wa internet hapa Tanzania hutumia kwa matumizi ya kujiburudisha(intertainment) . nilitegemea watu wangetumia katika mambo ya kuelimisha na upashanaji habari kakini ni kinyume chake.
Umeongea hoja mkuu wengi watashangilia kwamba matumizi ya internet yamekua ila hawachunguzi je yametumika kwa tija ama kupita page za udaku na kupost picha instagram

Ifike mahala tupime je asilimia ngapi wanatumia mitandao hii kwa tija ili isije kuwa namba inapaa tu kitakwimu kumbe taifa halifaidiki na chochote kile kupitia namba hizo za watumiaji kuongezeka
 
Eti simu 3 or 5,utakua na mapepo. Unatumia vipi simu 3 or 5 kwa wakati mmoja.?
Ach mawazo yako ya kimasikini wewe. Unadhani kila mtu anapenda kununua simu ya laini 3 au 4? Fikiri kabla ya kuandika.
 
Jibu swali. Serikali huwapa shilingi ngapi Vodacom, Airtel, tiGO kujenga minara ya simu?
Umeishia darasa la ngapi we nyumbu?

Ingeletwa taarifa ya mitandao ya simu kufirisika, ungesema sababu ni serikali, ila kwakua jambo ni chanya unaona serikali haihusiki!

Huko kichwani una matope au akili?
 
Nafkiri hii idadi ya milion 40 kutumia simu za mkononi ni ya kupotosha sana., karibu ya asilimia 90% ya watumiaji wa simu za mikononi Tz wanatumia na wamesajili line zaidi ya moja kwa mtumiaji 1.,

kwamfano mtu amesajili na kutumia line 2 ambazo ndio minimum ya watumiaji wengi wa simu za mikononi Tz.

Na uongo mkubwa zaidi nikwamba kama idadi ya milioni 40 Tz wanatumia simu za mikononi hapa sasa watakuwa wamewaingiza hadi baadhi ya watoto wachanga na vile vitoto vya nasari pia kuwa na wao wanatumia simu za mikononi jambo ambalo sio kweli.
Sijaelewa hoja yako kwa mapana, hasa huo msitari wa mwisho. TCRA wanaangalia IMEI zilizosajiliwa ndio wanajua idadi a watumiaji. Binafsi nina simu 3 na laini nne. Hii ina maana nasomeka kwa laini 4 na simu tatu kule TCRA. Kwa hio hio idadi ya 40 million subscribers sio ya kufikirika, ila ni kwamba wengi wetu tuna simu ama laini zaidi ya moja.
 
Kama una simu 3 na laini nne kwa wewe mtu 1, likely idadi ya watu wote Tz labda ugawe hiyo milioni 40/3 or 40/2 ndio utapata idadi halisi ya jumla kwa watu wote.
 
Dhalimu DU hapendi habari hizi anatamani mashetani yafunge mitandao yote nchini ili Watanzania wasimkomalie na udhalimu na dhuluma zake.

Ripoti ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania(TCRA) imeonesha kuwa, idadi ya watumiaji wa intaneti imeongezeka kufikia watu milioni 23 ambayo ni 45% ya Watanzania wote mwaka 2017 kutoka milioni 7.52 ambayo ni 17% ya mwaka 2012.
-
Ripoti hiyo pia inaonesha kuwa hadi mwezi Desemba mwaka 2017, idadi ya watumiaji wa simu za mkononi imefikia milioni 40 kutoka milioni 27.62 mwaka 2012, huku mtandao wa Vodacom ukiongoza kwa kuwa na watumiaji waliojisajili 12, 714,297.
-
Katika aina ya intaneti inayotumika, watu 19,006,223 wanatumia intaneti ya 'wireless' inayohamishika kama simu, 3,468,188 wanatumia intaneti ya 'wireless' isiyohamishika na 520,698 wanatumia 'wired'.

=======

Report: Number of internet users hits 23m mark in TZ

Internet penetration in Tanzania increased in the past six years,.

BY Alfred Zacharia @TheCitizenTz

IN SUMMARY

It reached 45 per cent in 2017 from 17 per cent in 2012, the Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA) statistics for the fourth quarter show.

During the period, the number of internet users has been progressively growing, reaching 23 million people in 2017 from 7.52 million in 2012. The users also increased to 9.31 million (21 per cent) in 2013 and 12.27 million (29 per cent) in 2014.
 
HABARI,
"figganigga,

Pamoja na wadau wote natoa maoni yangu juu ya utafiti huu uliofanyika,Mimi Ninashaka na Hii idadi ya watumiaji wa Simu za mikononi kufikia millioni 40.
Sidhani kama Tanzania kwa idadi yetu tumefika milioni 60 hatujazidi,Sasa kama idadi hiyo haijazidi natumai watanzania chini ya miaka 18 ni zaidi ya asilimia 35%,Ukichukulia wale wenye umasikini mkubwa ambao hawawezi kumiliki simu na wasio na makazi maalumu ni zaidi ya 7% Pamoja na wazee sana kwa kuangalia uhalisia wetu.

Lingine Sidhani kama wameangalia usajili wa jina moja kwenye laini zaidi ya moja ni watu wengi wanamiliki laini zaidi ya moja wengine mpaka laini tatu.Hapa kosa walilolifanya ni kuangalia laini Iliyosailiwa bila kuangalia kama jina limejirudia kwenye mitandao yote au hata mtandao mmoja.
Mimi nadhani kwa watumiaji wa simu Kwa Tanzania kwa kuhesabu mtumiaji mmoja hata kama amesajili laini 2 au hata kwenye mtandao tofauti hatujazidi millioni 20.

ANGALIZO=Hii sio Takwimu ni Dhana yangu.

LUMUMBA
 
Wana CCM ambao kila siku wanafikiri kuwa watumiaji wa mtandao ni wachache sana kiasi cha kudai kuwa jumbe zinazotumwa kupitia mtandao ni kujisumbua tu leo watalia.

Taarifa hii ni pigo kwao CCM, NA WAMECHELEWA kwani mabadiliko hayataweza kuzuiwa na polisi na Green gards.

Watumie mbinu nyingine.

Wanabadaliko OYEEEEEEEEEE, wanaopinga mabadiliko ZIIIIIIIIIIIIIIIII.
 
Back
Top Bottom