Mechanist
JF-Expert Member
- Jan 31, 2015
- 724
- 494
Wengine tuna smartphone zaidi ya mojaUkiweka line 2 au 4 kwenye Internet itafanya moja na hiyo ndio itakua ikionekana kwenye imei ya device yako huko tcra
Wengine tuna smartphone zaidi ya mojaUkiweka line 2 au 4 kwenye Internet itafanya moja na hiyo ndio itakua ikionekana kwenye imei ya device yako huko tcra
Great news! Sasa tupeni statistics za matumizi ya hizo simu na internet, usikute ni 'sosho midia' peke yake and tell us how that is in alignment with the industrialization policy of the government! TCRA should try as well to address affordability of the internet bundles, tunafaa kuongelea mambo ya 10GB shilingi 500 hivi! Good progress though!Ripoti ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania(TCRA) imeonesha kuwa, idadi ya watumiaji wa intaneti imeongezeka kufikia watu milioni 23 ambayo ni 45% ya Watanzania wote mwaka 2017 kutoka milioni 7.52 ambayo ni 17% ya mwaka 2012.
-
Ripoti hiyo pia inaonesha kuwa hadi mwezi Desemba mwaka 2017, idadi ya watumiaji wa simu za mkononi imefikia milioni 40 kutoka milioni 27.62 mwaka 2012, huku mtandao wa Vodacom ukiongoza kwa kuwa na watumiaji waliojisajili 12, 714,297.
-
Katika aina ya intaneti inayotumika, watu 19,006,223 wanatumia intaneti ya 'wireless' inayohamishika kama simu, 3,468,188 wanatumia intaneti ya 'wireless' isiyohamishika na 520,698 wanatumia 'wired'.
=======
Report: Number of internet users hits 23m mark in TZ
Internet penetration in Tanzania increased in the past six years,.
BY Alfred Zacharia @TheCitizenTz
IN SUMMARY
It reached 45 per cent in 2017 from 17 per cent in 2012, the Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA) statistics for the fourth quarter show.
Internet penetration in Tanzania increased in the past six years,.
It reached 45 per cent in 2017 from 17 per cent in 2012, the Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA) statistics for the fourth quarter show.
During the period, the number of internet users has been progressively growing, reaching 23 million people in 2017 from 7.52 million in 2012. The users also increased to 9.31 million (21 per cent) in 2013 and 12.27 million (29 per cent) in 2014.
Mange was a good human rights activists before she turned into political loud mouth!don't underestimate the power of Mange Kimambi
Juhudi zipi kwani mna kiwanda cha kutengeneza simu hapa?? Sema juhudi za wachina kutengeneza simu za bei rahisi fullstop hakuna jinsi serikali imesaidia watu kupata mawasiliano ama internet maana ndio kwanza imeleta sheria mbovu za makosa ya kimtandao kiasi kwamba unaitwa mchocheziJe hizi si juhudi za serikali? Watu hawaoni wala hawatapongeza, lakini sikilizia dosari ikitokea
Hakuna jinsi? Listen to your unashamed self.Juhudi zipi kwani mna kiwanda cha kutengeneza simu hapa?? Sema juhudi za wachina kutengeneza simu za bei rahisi fullstop hakuna jinsi serikali imesaidia watu kupata mawasiliano ama internet maana ndio kwanza imeleta sheria mbovu za makosa ya kimtandao kiasi kwamba unaitwa mchochezi
Maendelo mazuri.
Kwa dunia ya sasa maendeleo yanakwenda sambamba na mawasiliano tunachokihitaji ni wajasiliamari wa kuonafursa na kuitumia.Hakuna cha maendeleo., Tz ni nchi maskini sana shida inakuja mtu bora akose chakula lakini amiliki simu ya mkononi
Pamoja na ongezeko la watumiaji wa internet kuwa kubwa sana,lakini inasikitisha sana,asilimia 90 ya watumiaji wa internet hapa Tanzania hutumia kwa matumizi ya kujiburudisha(intertainment) . nilitegemea watu wangetumia katika mambo ya kuelimisha na upashanaji habari kakini ni kinyume chake.
Nafkiri hii idadi ya milion 40 kutumia simu za mkononi ni ya kupotosha sana., karibu ya asilimia 90% ya watumiaji wa simu za mikononi Tz wanatumia na wamesajili line zaidi ya moja kwa mtumiaji 1.,
kwamfano mtu amesajili na kutumia line 2 ambazo ndio minimum ya watumiaji wengi wa simu za mikononi Tz.
Na uongo mkubwa zaidi nikwamba kama idadi ya milioni 40 Tz wanatumia simu za mikononi hapa sasa watakuwa wamewaingiza hadi baadhi ya watoto wachanga na vile vitoto vya nasari pia kuwa na wao wanatumia simu za mikononi jambo ambalo sio kweli.