Stats: Tanzania has 23 million internet Subscribers and about 40 million mobile subscribers

Smartphone + Internet usipozitumia vizuri ni vitu vyenye nafasi kubwa ya kukurudisha nyuma kimaendeleo
 
Ukiweka line 2 au 4 kwenye Internet itafanya moja na hiyo ndio itakua ikionekana kwenye imei ya device yako huko tcra
embu acha kamba basi sa itaonekanaje moja wakati ntakuwa nabadili badili yenye bundle ndo natumia mfano itaonekanaje voda wakat yenye bundle ni halotel ndo naperuz nayo kwa muda huo
 
Good news kwa wapenda mageuzi,

Watu hatuhitaji tena ma-tv wanacontrol.
Ni rahisi ku shut down na ku scrumble,mawasiliano
Ndio maana kila siku mnadakwa mpaka watu wapo njombe
Polisi anaweka hashtags tu ya majina na nambo abayotaka kudukua,woote mnamiminika mnachambuliwa kila kitu
 
embu acha kamba basi sa itaonekanaje moja wakati ntakuwa nabadili badili yenye bundle ndo natumia mfano itaonekanaje voda wakat yenye bundle ni halotel ndo naperuz nayo kwa muda huo
Internet device mzee ndio inasomwa sio line, nenda shule
 
Je hizi si juhudi za serikali? Watu hawaoni wala hawatapongeza, lakini sikilizia dosari ikitokea

juhudi za serikal kivipi? yaani kutoa hela yangu na kununua simu ya internet kunatokana na juhudi za serikali
 
Ni rahisi ku shut down na ku scrumble,mawasiliano
Ndio maana kila siku mnadakwa mpaka watu wapo njombe
Polisi anaweka hashtags tu ya majina na nambo abayotaka kudukua,woote mnamiminika mnachambuliwa kila kitu
Point yako ni nini mkuu?
 
Hizo takwimu ni za watumiaji (users), hazimaanishi kuwa watumiaji kwa maana na mtu mmoja mmoja ni millioni 40. Kwenye hizo takwimu inajumlisha taasisi na watumiaji mmoja mmoja ambao wana zaidi ya line moja.

Kwa lugha rahisi, million 40 ni jumla ya laini za simu zilizosajiliwa zilizokuwa hewani (active) mpaka wakati wanachukua takwimu.

Pale juu wangeandika vizuri zaidi na wazi zaidi kwamba line zilizosajiliwa ni idadi hii ama ile. wasitumie lugha ya kupotosha.
 
Ripoti ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania(TCRA) imeonesha kuwa, idadi ya watumiaji wa intaneti imeongezeka kufikia watu milioni 23 ambayo ni 45% ya Watanzania wote mwaka 2017 kutoka milioni 7.52 ambayo ni 17% ya mwaka 2012.
-
Ripoti hiyo pia inaonesha kuwa hadi mwezi Desemba mwaka 2017, idadi ya watumiaji wa simu za mkononi imefikia milioni 40 kutoka milioni 27.62 mwaka 2012, huku mtandao wa Vodacom ukiongoza kwa kuwa na watumiaji waliojisajili 12, 714,297.
-
Katika aina ya intaneti inayotumika, watu 19,006,223 wanatumia intaneti ya 'wireless' inayohamishika kama simu, 3,468,188 wanatumia intaneti ya 'wireless' isiyohamishika na 520,698 wanatumia 'wired'.

=======

Report: Number of internet users hits 23m mark in TZ

Internet penetration in Tanzania increased in the past six years,.

BY Alfred Zacharia @TheCitizenTz

IN SUMMARY

It reached 45 per cent in 2017 from 17 per cent in 2012, the Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA) statistics for the fourth quarter show.

During the period, the number of internet users has been progressively growing, reaching 23 million people in 2017 from 7.52 million in 2012. The users also increased to 9.31 million (21 per cent) in 2013 and 12.27 million (29 per cent) in 2014.

Kwa statistics hizi fursa za kutengeneza pesa kwa kutengeneza apps kama vile payment apps, mobile games etc ikoje?
 
Lakini hapa kuna baadhi ya watu wanahesabika mara 5 hadi 10+ kwa sababu wengi wetu tunamiliki laini nyingi na aina mbalimbali za maumizi ya internet. So the data are not such realistic.
 
Pale juu wangeandika vizuri zaidi na wazi zaidi kwamba line zilizosajiliwa ni idadi hii ama ile. wasitumie lugha ya kupotosha.
Kumbe nawe umeshtukia mkuu? Hii lugha ni ya kipotoshaji kabisa. Hapa ukutue ukihesabu vichwa vya watu wanaotumia internet unaweza upate idadi yao ni milioni 5 tu nchi nzima! Lakini kwa sababu CCM wanapenda kutupumbaza kwa kila jambo, wame exaggerate kwa makusudi.
 
Kwahiyo wewe una simu nne zote unazitumia kwa wakati mmoja..
Kwani report inaongelea matumizi ya laini au inazungumzia laini zilizosajiriwa?😀😀😀😀😛😛😛
 
Je hizi si juhudi za serikali? Watu hawaoni wala hawatapongeza, lakini sikilizia dosari ikitokea
Hizi ni juhudi binafsi za makampuni ya simu. Serikali haijengi minara ya simu wala kutenga bajeti ya matumizi kwa makampuni ya simu. Lini ulisikia serikali imepeleka ruzuku Vodacom, Airtel au tiGO? Think BIG mkuu.
 
jedwali la kwanza: watumiaji wa halotel walipungua hali wa mitandao mingine waliongezeka? intanet yao kusua sua kitakuwa kigezo muhimu wateja kuwakimbia. JF tulilalamika sana.

ni wakati sasa JF kutumika kama dashboard kwa masuala mengi humu nchini. inaona mbali
Pamoja na hilo, Halotel vifurushi vyao ni ghali na vya kikanyaboya!
 
Zote hizi ni policies za serikali kuwezesha bei ndogo ya Internet EA nzima, bei ndogo za simu, setting prices ambazo makampuni ya simu yanacharge, allowing different telecommunacation companies to access this market, yote hayo na mengine mengi ni kwa ridhaa ya serikali.
Sasa jifanyeni mnataka kuruka mkojo, mkakanyage mavi.
Serikali ndiyo inajenga minara na kuweka cables za mitandao ya simu?
 
hii namba ina consider watu wenye multiple sim cards? 23 Million users sina uhakika kama ni realistic ukizingatia huduma kama 3G bado ni luxury baadhi ya maeneo.
 
Hakuna jinsi? Listen to your unashamed self.
All these are government policies either you like it or you don't, serikali huset minimum and max price zina jina lake kiuchumi, angalia bei ya Internet, airtime, SMS Kenya, linganisha na Tz. Angalia ruhusa ya variety kampuni za simu Tz, huwezi kuta hii nchi nyingi Africa because they prefer monopolizing the markets, sababu vigogo huwa na ubia na hizo kampuni.
Hizi simu zimeshushiwa kodi na serikali, hence easy accessibility yake. Etc.
Sasa mtu timamu mwenye uwezo wa kulog in JF alafu bila hiyana anasema serikali hakuna jinsi imesaidia hilo suala, binafsi huwa namuona ni nyumbu tu.
Toa facts acha kubwabwaja. Tuambie bei ya kupiga simu mwaka 2000 ukilinganisha na hii ya sasa na utueleze ni jinsi gani serikali ilivyohusika hapo. Imepnada au imeshuka na je serikali imehusikaje ktk kupanda au kushuka huko? Pia tuambie jinsi gani mfumo wa ununuzi wa airtime na data kwa mfumo wa bundles (ambao umewakomboa masikini wengi ktk nchi hii) ulivyoletwa na serikali yako ya CCM.
 
Hizo takwimu ni za watumiaji (users), hazimaanishi kuwa watumiaji kwa maana na mtu mmoja mmoja ni millioni 40. Kwenye hizo takwimu inajumlisha taasisi na watumiaji mmoja mmoja ambao wana zaidi ya line moja.

Kwa lugha rahisi, million 40 ni jumla ya laini za simu zilizosajiliwa zilizokuwa hewani (active) mpaka wakati wanachukua takwimu.
Ni kweli...kwa hiyo hapa walitakiwa watuambie kuwa hii ni idadi ya registered simcards sio subscribers! Wakituambia subscribers watakuwa wametudanganya big time. Na hizi takwimu inabidi zichunguzwe na NBS na waliohusika kuzitunga kwa ajili ya kupotosha umma wachukuliwe hatua kali za kisheria. Takwimu ni FAKE 101%. Tunaomba NBS muwaadhibu TCRA kwa kutuletea takwimu kanyaboya.
 
Back
Top Bottom