Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

Ndiyo maana nilisema kusoma biblia ni jambo moja na kuielewa ni jambo la pili. Mr otorong'ong'o unapotea huku ukijiona wajua kumbe hujui kitu.
Mungu ni roho na wamwabudu imewapasa kumuabudu ktk roho na kweli.
Anaposema maombi ya watakatifu ana maana ya watu wanaomcha Mungu hapa duniani. Wanapomuomba Mungu maombi hayo humfikia kwa mungu kwa njia hiyo. Niambie ktk kifungu hicho ni wapi pameonyesha watakatifu watuombee. NDIYO MAANA TUNASEMA WAROMANI KATOLIKI MNAMWABUDU MUNGU KWA AKILI,SIYO KWA ROHO.
HATA MKIULIZWA TAFSIRI YA ROHO HAPO NDIYO MNAPOTEA KABISA.
MKIULIZWA MAMBO YA KUJAZWA ROHO MTAKATIFU,MAJIBU MTAYAFINYANGA FINYANGA TU. MODS UZI HUU MSIUONDOE WALA MSIUNGANISHE TUPATE MUDA WA KUINGIA KWENYE MAANDIKO TUWAPE VIFUNGU ILI WAKAE SAWA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niwasaidie wewe na faiza.
KWA SISI WATU WA ROHONI FUNDISHO HILI LINATAFSIRIWA HIVI:

MUNGU HUWA HAMJARIBU BINAADAM,BALI HUIJARIBU IMANI YA HUYO BINAADAM KUWA IKO THABITI.
HAIYUMBI. NDIYO MAANA MAHALI PENGINE ANASEMA AMJARIBUPO MTU HUTOA NA MLANGO WA KUTOKEA KTK JARIBU LAKE. BAHATI MBAYA NIKO MBALI NA BIBLIA NINGEWAPA NA MAANDIKO.
SHETANI HUMJARIBU MTU ILI AANGUKE KTK DHAMBI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We Rafiki biblia huielewi kabisa,yaelekea wewe ni padre au askofu. Yaani mwepeee!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unachekesha,umeshasoma mahubiri ya Yesu na mitume? Yesu aliwaambia wayahudi alisema ENYI UZAO WA NYOKA NINANI ALIYEWAAMBIA MUIKIMBIE HUKUMU ITAKAYO KUJA? BASI ZAENI MATUNDA YAPASAYO TOBA.Je kuna neno baya kama kuitwa uzao wa nyika,JE ALIWAHUKUMU?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahsante dada. Shemeji hajambo? Amekupa cha asubuhi?

Hakikisha muda wote unachezea mshedede wa shemeji kipindi hiki yuko likizo. Hakikisha hadi likizo inaisha amekujaza mimba nyingine ya mdogo wake na junior.
Kwa ujinga huu utaongea mambo ya Mungu? Wanakufa watu wa maana shetani na wafuasi wake mnaachwaje? Pole sana
 
Kwani hiyo imani inayojaribiwa inakuwa ndani ya jiwe au binadamu. Anayejaribiwa ni binadamu. "Lakini Yeye aijua njia niendeayo; Akisha KUNIJARIBU nitatoka kama dhahabu" - Ayubu 23:10

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…