Jimmywatanzania
JF-Expert Member
- May 8, 2015
- 514
- 275
Mungu kwani yupo lumumba tu?
na inasemekana hiii ni njama ya lowasa ili asishitakiwe!!!! ila cdm ni hatari walimuua chachawangwe na huyu mtikila mmemkolimba
hivi hiii ikulu kuna nini?????????? lowasa ukija kwetu huku nitajitoa mhanga tuone hio jeuri unaitoa wapi pumbavu lowasa
Shetani linataka kwenda ikulu kwa juwamaliza wapinzani wake,kisa ikulu el ikulu kuna mikataba gani na maagent wako unataka kuipeleka,
Chadema ni chama cha maharamia. Angalia ile maiti haina hata mchubuko. Mtoa mada ni mnafiki sana. Je aliyokuwa akiyasema Mtokila yalikuwa ya uongo? Sasa mmemuua ili kumziba mdomo. Wananchi fungukeni hawa watu ni hatari sana.

WaTz tunashindwa kuelewa jambo moja. kama mhe lowasa asingekuwa mgombea wa nafasi nyeti ya urais nani angeshughulika naye. kwa nafasi hiyo anayowania taka usitake atasemwa tu, kwa uzuri au kwa ubaya ni lazima atasakamwa. vinginevyo ajiengue kwenye safari yake ya matumaini. kwani ni yeye nani asijadiliwe, ni mtume? ni mungu mtu? kwani mhe. magufuli hasemwi? hatukanwi? kwani anna mghwira hatukanwi? kwani wagombea ubunge hawatukanwi? kama rais jk kila siku anatunwa mitandaoni bila woga kwa kiongozi mkuu ya nchi sembuse mtu anaiota ikulu siku 20 bado mbali. mti wa matunda hutupiwa mawe kuona yameiva.
na inasemekana hiii ni njama ya lowasa ili asishitakiwe!!!! ila cdm ni hatari walimuua chachawangwe na huyu mtikila mmemkolimba
hivi hiii ikulu kuna nini?????????? lowasa ukija kwetu huku nitajitoa mhanga tuone hio jeuri unaitoa wapi pumbavu lowasa
ninahamu sana na hili zimwi nalisubili lifike huku Ndio nitatoa ushahidi stayed stunned atoke zenji aje kwetu hilo zezeta limaloumwa kideli
Nimemshuhudia mtangazaji wa Star TV akibubujikwa na huzuni wakati anadokeza kuhusu msiba wa Mtikila.Wakati namuonea huruma nikakumbuka jambo moja kwamba katika media iliyoruhusu propaganda chafu dhidi ya Lowasa ni Star TV.
Sitaki kuamini kama Star Tv walikuwa wanamwalika mgeni Mtikila na Mkinga kumtukana Lowasa,lakini kwa nini hawakukemea wala kutokumualika kabisa Star TV yapasa mjutie haya maswala na iwe mwisho.
Kwa imani yangu naamini kifo cha Mtikila hakina mahusiano na dhihaka zake kwa Lowasa.Nachoamini ni Double Coincidence tu,wakati marehemu anatukana wenzie tayari tarehe zilishafika.
Lakini tunapata funzo kuwa usitukane mamba kabla ya kuvuka mto na hakuna ajuaye kesho,tupendane na tuishi kwa raha.Hongera Lowassa,Mbowe na Mbatia kwa siasa safi.
Chadema ni chama cha maharamia. Angalia ile maiti haina hata mchubuko. Mtoa mada ni mnafiki sana. Je aliyokuwa akiyasema Mtokila yalikuwa ya uongo? Sasa mmemuua ili kumziba mdomo. Wananchi fungukeni hawa watu ni hatari sana.
Mkuu kwangu nilishapiga marufuku channel 10 startv TBC andio sumu kabisa kwangu!Hivi kuna watu bado wanataza star TV?
Nimemshuhudia mtangazaji wa Star TV akibubujikwa na huzuni wakati anadokeza kuhusu msiba wa Mtikila.Wakati namuonea huruma nikakumbuka jambo moja kwamba katika media iliyoruhusu propaganda chafu dhidi ya Lowasa ni Star TV.
Sitaki kuamini kama Star Tv walikuwa wanamwalika mgeni Mtikila na Mkinga kumtukana Lowasa,lakini kwa nini hawakukemea wala kutokumualika kabisa Star TV yapasa mjutie haya maswala na iwe mwisho.
Kwa imani yangu naamini kifo cha Mtikila hakina mahusiano na dhihaka zake kwa Lowasa.Nachoamini ni Double Coincidence tu,wakati marehemu anatukana wenzie tayari tarehe zilishafika.
Lakini tunapata funzo kuwa usitukane mamba kabla ya kuvuka mto na hakuna ajuaye kesho,tupendane na tuishi kwa raha.Hongera Lowassa,Mbowe na Mbatia kwa siasa safi.
Ni kweli kazi hiyo mnaiweza maana mkitila amekuwa mpinzani miaka mungu sana na tena bigwa wa kusema machafu ya serikali na kutoka kuwapeleka mahakama ni,lakini amegusa shetani lenu tayari mumemtoa roho,na nyie mtakufa tu,
Mlipompa sumu mwakyembe mungu akawapa kiarusi adi sasa mnaangaika nacho sasa UA wote na nyie mtakufa tu,
Station yao niko tu jilan nao, staki kuiona hata kwenye king'amuzi
Nimemshuhudia mtangazaji wa Star TV akibubujikwa na huzuni wakati anadokeza kuhusu msiba wa Mtikila.Wakati namuonea huruma nikakumbuka jambo moja kwamba katika media iliyoruhusu propaganda chafu dhidi ya Lowasa ni Star TV.
Sitaki kuamini kama Star Tv walikuwa wanamwalika mgeni Mtikila na Mkinga kumtukana Lowasa,lakini kwa nini hawakukemea wala kutokumualika kabisa Star TV yapasa mjutie haya maswala na iwe mwisho.
Kwa imani yangu naamini kifo cha Mtikila hakina mahusiano na dhihaka zake kwa Lowasa.Nachoamini ni Double Coincidence tu,wakati marehemu anatukana wenzie tayari tarehe zilishafika.
Lakini tunapata funzo kuwa usitukane mamba kabla ya kuvuka mto na hakuna ajuaye kesho,tupendane na tuishi kwa raha.Hongera Lowassa,Mbowe na Mbatia kwa siasa safi.
Unao ushahidi mkuu? Peleka mahakamani