SSRA wazuia ku-withdraw mafao PPF kimya kimya

SSRA wazuia ku-withdraw mafao PPF kimya kimya

Kuna Mrejesho wowote Wakuu? Binafsi kesho ntaamkia Ofisi za PPF Northern Zone hapa Arusha kufuatilia kwa kina yepi yanajiri.... Alamsik
Aisee mimi sina updates naomba kesho ukiibuka hapo PPF tujuze kama bado waulize huo waraka upo wapi na wametangaza wapi onana na manager wa kanda na siyo vidagaa hivyo reception komaa nao hadi wakupe jibu
 
Naona kambi ya upinzani na wabung wenye uchungu wanalifanyia kazi....nilitegemea jana wamuulize Mwakyembe naona kimya,,,,,,,,jamani hivi JPM anawatu wanapita humu? Sa mnasema tujiajiri kazi zimeisha tunajiajirije? Hela mmekaa nazo ninyi? JPM anapatikanaje!? Mbona amekuwa mwepesi kusikia matangazo clouds kwa huyu dada asieona kupatiwa msaada anawatesa wapiga kura wake wengi?? Njia ipi itamfanya JPM asikie kilio hiki??
 
Gazeti la The Citizen la leo SSRA wakanusha kuwa na taarifa za PPF kufuta fao la kujitoa. Drama inaendelea
 
upload_2016-5-27_8-38-27.png


Na NSSF silioni fao la kujitoa
 
nilipeleka fomu yangu tar 15/05 nimeenda kufuatilia leo wananiambia hawaprocess mafao ya kujitoa kuanzia tar 11. hivyo wenye fomuzao watajibiwa kwa barua. Nasubiri barua hiyo nianze process za kutafuta legal assistance. I think we can join up hands.

Nashauri kwa wote waliokumbwa na shida hii tutim up as from now before is too late!

my number is: 0784 77 41 02
 
nilipeleka fomu yangu tar 15/05 nimeenda kufuatilia leo wananiambia hawaprocess mafao ya kujitoa kuanzia tar 11. hivyo wenye fomuzao watajibiwa kwa barua. Nasubiri barua hiyo nianze process za kutafuta legal assistance. I think we can join up hands.

Nashauri kwa wote waliokumbwa na shida hii tutim up as from now before is too late!

my number is: 0784 77 41 02
Mkuu upo mfuko gani?
 
Wadau..nimeongea na wahusika PPF kuulizia situation. Wanasema ni kweli wamesitisha kwa oda toka uongozi wa juu wa shirika. Ila waliopeleka fomu zao za madai kabla ya 12 may 2016 watalipwa mafao yao kama kawaida..ila kuanzia tar 12 hatalipwa.
 
Bila kuwa wamoja hawa mabwanyenye yatatuchezea sana cha umuhimu ni kuyafungulia kesi za kimataifa,wabunge wetu wapo kimya hakuna anayezungumzia kwa7bu uchaguzi upo mbali.
 
hii post naomba iwe stick pale juu mpaka kieleweke tujue mbivu na mbichi maana waajiriwa wote kwa namna moja au nyingine unahusika kwa hili
 
Hii itusaidie watanzania kuelewa kuwa hakuna mbunge wa ccm wala upinzani anayeweza kutusaidia ila sisi wenyewe.Kwa nguvu tuliyotumia mwaka jana kuwapitisha hawa wabunge hili halikuwa letu hata kidogo,watakaa kimya then utasikia 2019 wanajifanya kuanza kuongelea.Ndugu zangu tupambane wenyewe hadi kieleweke,Mbunge wangu Mnyika hakutakiwa kuwa kimya hata kidogo kwa hili ,anyway tutakutana 2020.
 
hii sharia wanayosema ilipitishwa mwaka 2012, ni ipi!? maana nimepiga sim FFF wanasema walikuwa wakitoa mafao kinyume na sharia, wamepokea oda kufuata taratibu kwa mujibu wa sharia ya mifuko ya jamii ya mwaka 2012! kuna mwenye uelewa hapa! wanasehia wa labor law wako wapi hapa wasaidie hii makitu
 
Naona Magufuli anataka hela zenu akajengee viwanda. Ngoja tuone movie itaishaje maana wengi wa mashabiki wa siasa za Magufuli hili fao la kujitoa wanalitaka sana
 
Huu ni unyonyaji wa hali ya juu. Mkopo wa elimu wanatuchaji riba na faini lakini pensheni yetu wanafanyia biashara kisha wanarudisha kama ilivyo tena ikiwa imeshuka thamani. HUU NI UNYONYAJI WA HALI YA JUU TUUPINGE KWA NGUVU ZOTE.
 
Na hawa tucta wapo kimyaaaa... kwenye kukusanya michango wapo mbele kama ki**mi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom