Entim
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 4,024
- 2,273
hakika kama ni kweli watakuwa wametuumiza haswa, wataka usubiri hadi miaka 60 ukachukue wakati thamani yake imeshuka kwa 75%, yaani kama mafao yako kwa sasa ni tsh 30million zitakuwa sawa na tsh 7.5m. Kumbuka wakati huo umri umenda hata ukinunua gari huoni vizuri, watoto wako watakuwa wakirandaranda mtaani kwa kukosa huduma ya elimu.Habari za jioni wandugu,
nimekutana na janga la kitaifa mwenye taarifa kamili atujuze hawa jamaa wa PPF wamekataa kuandaa mafao yangu sababu eti SSRA wamezuia wako kutokupokea any claim for withdraw. nilipowauliza wapi evidence i mean waraka au any document hakuna jibu wanabaki wanaangaliana nimeomba wanipe wakasema ni memo ya ndani sasa ndani na sisi member haituhusu?. nataka pesa yangu niende kulimia siyo ikae bure tu na mimi kazi nimetupa kule nimekuwa mjasiliamali
naombeni msaada hapo wanaojua details