SSRA wazuia ku-withdraw mafao PPF kimya kimya

Lakini nashangaa sana sasahivi hakuna hata magazeti ambayo yameandika kuhuusu hii kitu wala mbunge yeyote kurise hoja!!!??
Watu wengi wamesahau mambo muhimu, wanangalia maswala ya sukari na Lugumi tu..
Tmpe hoja hii ya mafao mbunge mmoja ili aiwashie moto bungeni.
 
Kuna mtu mmoja amesema kampa Zito kwenye fb page yake lakini sidhani kama zito anaweza kuongolea hili sababu Zito mwenyewe ni pro hii mifuko
 
Watu wengi wamesahau mambo muhimu, wanangalia maswala ya sukari na Lugumi tu..
Tmpe hoja hii ya mafao mbunge mmoja ili aiwashie moto bungeni.
tupost kwa wingi kwenye twitter account ya Zitto kabwe anaweza kutusaidia kwa hili
 
hakika kama ni kweli watakuwa wametuumiza haswa, wataka usubiri hadi miaka 60 ukachukue wakati thamani yake imeshuka kwa 75%, yaani kama mafao yako kwa sasa ni tsh 30million zitakuwa sawa na tsh 7.5m. Kumbuka wakati huo umri umenda hata ukinunua gari huoni vizuri, watoto wako watakuwa wakirandaranda mtaani kwa kukosa huduma ya elimu.[/QUOTE
Kwa jisi watu wengi wameanza kufunguka na kutaka kujiajiri na hata kuwaajiri wengine baada ya kulimbikiza mafao na kupata mitaji, ni wazi wengi hasa vijana watakuwa wanaacha kazi mapema ili wajiajiri. Hii ni fursa hata kwa serikali kupunguza tatizo la ajira nchini kwa kuwapa wanaoacha kazi mafao yao ili wakajiajiri na kuwaachia nafasi wengine wanaotafuta ajira. Ni kosa la kimkakati kuwanyima mafao yao eti wasubiri hadi wafikishe umri wa miaka 60! SHERIA HII NI KANDAMIZI NA KAMA KUNA WATUNGA SHERIA WANAPITIA UZI HUU BASI WALIPELEKE HARAKA SANA BUNGENI LIFANYIWE KAZI WATU WAENDELEE KUCHUKUA MAFAO YAO.
 
Kwa jinsi watu wengi wameanza kufunguka na kutaka kujiajiri na hata kuwaajiri wengine baada ya kulimbikiza mafao na kupata mitaji, ni wazi wengi hasa vijana watakuwa wanaacha kazi mapema ili wajiajiri. Hii ni fursa hata kwa serikali kupunguza tatizo la ajira nchini kwa kuwapa wanaoacha kazi mafao yao ili wakajiajiri na kuwaachia nafasi wengine wanaotafuta ajira. Ni kosa la kimkakati kuwanyima mafao yao eti wasubiri hadi wafikishe umri wa miaka 60! SHERIA HII NI KANDAMIZI NA KAMA KUNA WATUNGA SHERIA WANAPITIA UZI HUU BASI WALIPELEKE HARAKA SANA BUNGENI LIFANYIWE KAZI WATU WAENDELEE KUCHUKUA MAFAO YAO.
 
Habari za jioni wandugu,

Nimekutana na janga la kitaifa mwenye taarifa kamili atujuze hawa jamaa wa PPF wamekataa kuandaa mafao yangu sababu eti SSRA wamezuia wako kutokupokea any claim for withdraw. Nilipowauliza wapi evidence i mean waraka au any document hakuna jibu wanabaki wanaangaliana nimeomba wanipe wakasema ni memo ya ndani sasa ndani na sisi member haituhusu?. nataka pesa yangu niende kulimia siyo ikae bure tu na mimi kazi nimetupa kule nimekuwa mjasiliamali

Naombeni msaada hapo wanaojua details
PUFAFANUZI KUHUS FAO LA KUJITOA KATIKA MAREKEBISHO YA SHERIA ZA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII.
Ufuatao ni ufafanuzi mfupi kuhusu marekebisho ya Sheria za Mifuko hasa kuhusu fao la kujitoa.
1. Kama mtakumbuka Sheria za Mifuko ya Hifadhi ya Jamii pamoja na Sheria ya Mamlaka zimefanyiwa marekebisho na kupitishwa na Bunge tarehe 13 Aprili, 2012. Sheria hiyo tayari imeshasaininiwa na Mheshimiwa Rais na imeanza kutumika rasmi. Marekebisho haya yanawahusu wafanyakazi wote nchini mwetu bila kubagua sekta yoyote ile.
2. Kwa mujibu wa marekebisho hayo fao la kujitoa (withdrawal benefits) yamefutwa na kuanzia sasa hayatakuwepo. Mafao hayo yalikuwa yanatolewa pale mwanachama alipokuwa anaacha kazi. Sasa mwanachama wa Mfuko atapata mafao yake pale atakopfikisha umri wa kustaafu kwa hiari (miaka 55) au kwa lazima (miaka 60) au pale anapopata ulemavu wa kudumu.
3. Kwa kuzuia fao la kujitoa mwanachama anapata fursa ya kupata mikopo ya nyumba kwa kutumia dhamana ya michango yake kama ilivyoelezwa kwenye Sheria ya SSRA kipengele cha 38.
4. Marekebisho hayo kuhusu kuzuia mafao ya kujitoa yamefanyika ili kutimiza lengo na madhumuni ya hifadhi ya jamii ambayo ni kuhakikisha kuwa mwanachama anapostaafu anapata mafao bora yatakayomwezesha kumudu maisha ya uzeeni wakati ambapo nguvu ya kufanya kazi tayari imeshamwishia. Mafao ya kujitoa yanapunguza na hata kuondoa kabisa kinga ya mfanyakazi pale anapoumia kazini au anapofika uzeeni.
5. Tunawaomba muwaelimishe wafanyakazi umuhimu na madhumuni ya mafao ya hifadhi ya jamii. Hifadhi ya jamii ni nyenzo mahususi iliyowekwa kuwasaidia
2
wafanyakazi kuendesha maisha yao wakati wanapokuwa wameishastaafu tayari. Umasikini wa kipato wakati wa uzee ni mojawapo ya changamoto ngumu kukabiliana nazo kwa mtu mmoja mmoja na taifa kwa ujumla. Tunawasihi tena muelimishe wafanyakazi kuhusu jambo hili. Tafadhali msisite kuwasiliana na Mamlaka pale ufafanuzi zaidi utakapohitajika
6. Kwa kuwa marekebisho hayo yamesainiwa na kuanza kutumika rasmi kama sheria, mafao ya kujitoa hayawezi kutolewa tena na wafanyakazi watakaoacha kazi kwa sababu ya marekebisho ya kipengele hicho watakuwa hawajaijitendea haki wao wenyewe na pia itakuwa ni kunyume cha Sheria. Mamlaka inaandaa kanuni za mafao ambayo lengo lake ni kuboresha maslahi ya wanachama, kanuni hizo zitajadiliwa na wadau wakiwemo vyama vya wafanyakazi na waajiri ili kupata maoni yao.
7. Tafadhali muwaelimishe wafanyakazi kwamba pamoja na kuzuia fao la kujitoa, mafao mengine ambayo ni muhimu kwa sekta ya Madini yataendelea kutolewa kama kawaida. Mafao hayo ni Kama vile kuumia kazini pamoja na fao la ulemavu
8. Tumesikia kwamba tayari kuna hofu imejijenga kwa wanachama kuhusiana na fao la kujitoa. Ikumbukwe kwamba baadhi ya Mifuko ilikuwa inatoa fao hilo kinyume cha Sheria kwani katika Sheria zao hakuna fao la kujitoa. Tunapenda kusisitiza kwamba wanachama wawe watulivu wakisubiri miongozo.
9. Tunapenda kuwahakikishia kwamba katika hili maslahi ya wanachama yatalindwa na hakuna mwanachama atakayepunjika kutokana na utaratibu huo. Mamlaka imepanga kutembelea wafanyakazi wa sekta ya madini katika juma la kwanza la mwezi Agosti 2012 ili kutoa ufafanuzi zaidi kwa wanachama wote.
Tunatanguliza shukrani za dhati kwa ushirikiano.
Wenu.
Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Hifadhi ya Jamii
Irene Isaka
MKURUGENZI MKUU

C&P as received....
MIMI BINAFSI SIJAONA SABABU YA MSINGI YA KUANZISHWA KWA SHERIA HIYO.
 
Uwekezaji wa kizembe na kifisadi imegeuza hii mifuko yote kuwa pyramid schemes
.hawana pesa..wanasubiri wanachama walipe na wapya waingie..mimi ninapigwa changa Nssf tangu January....jaki yangu jasho langu sijalipwa...
 
Kwa hizi ajira za kihindi
Hebu watoe maelekezo vizuri
 
Acha ujinga wewe hiyo ya 2012 ilishakataliwa kama wamezuia kisheria si watangazeee wafanyakazi wajasiliamali tuelewe
 
Kuna Mrejesho wowote Wakuu? Binafsi kesho ntaamkia Ofisi za PPF Northern Zone hapa Arusha kufuatilia kwa kina yepi yanajiri.... Alamsik
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom