SSRA wazuia ku-withdraw mafao PPF kimya kimya

SSRA wazuia ku-withdraw mafao PPF kimya kimya

Ni mfuko bomu sana huo
Ninachokiona serikali imekosa sehemu ya kukopa kwa riba nafuu zaidi ya mifuko ya hifadhi ya jamii ndio option rahisi kuwakandamiza wafanyakazi maana wazungu wameongeza masharti kwa wale tunaopenda kuvuta chetu mapema tutasota hii miaka mitano na sioni bunge makini term hii kwa kutetea wananchi wote wanaangalia matumbo sio ukuwa wala ccm
Naona kambi ya upinzani na wabung wenye uchungu wanalifanyia kazi....nilitegemea jana wamuulize Mwakyembe naona kimya,,,,,,,,jamani hivi JPM anawatu wanapita humu? Sa mnasema tujiajiri kazi zimeisha tunajiajirije? Hela mmekaa nazo ninyi? JPM anapatikanaje!? Mbona amekuwa mwepesi kusikia matangazo clouds kwa huyu dada asieona kupatiwa msaada anawatesa wapiga kura wake wengi?? Njia ipi itamfanya JPM asikie kilio hiki??

Gazeti la The Citizen la leo SSRA wakanusha kuwa na taarifa za PPF kufuta fao la kujitoa. Drama inaendelea

View attachment 351289

Na NSSF silioni fao la kujitoa
 
WATU WALIVYOAMBIWA MMAREKANI KASUSIA KUTOA MSAADA WALIKUWA WANACHEKA TU
SASA WAMEANZA KUONA KUWA SERIKALI HII NI YA KIPUUZI WANATUNGA SHERIA KANDAMIZI KUWAUMIZA WATU NA SIO KINGINE
HII NDIO NAMBA INASOMEKA LIVE YANI
 
BAADA YA KUKOSA MISAADA HUKO SASA WAMEANZA KUZIBANA HELA ZA WAFANYAKAZI KUFANYA UHUNI WAO
 
Habari za jioni wandugu,

Nimekutana na janga la kitaifa mwenye taarifa kamili atujuze hawa jamaa wa PPF wamekataa kuandaa mafao yangu sababu eti SSRA wamezuia wako kutokupokea any claim for withdraw. Nilipowauliza wapi evidence i mean waraka au any document hakuna jibu wanabaki wanaangaliana nimeomba wanipe wakasema ni memo ya ndani sasa ndani na sisi member haituhusu?. nataka pesa yangu niende kulimia siyo ikae bure tu na mimi kazi nimetupa kule nimekuwa mjasiliamali

Naombeni msaada hapo wanaojua details
Ndugu yangu hilo janga c peke yako na hilo linajulikana na walioacha kaz tu maana ndo waenda na kukutana na hyo memo,swali ni je kwann waamue kimyakimya tena kwa kulitekeza haraka?selikari iko wap?ikitangazwa kupanda mishara inatekelezwa baada ya siku dahari na hili kwanni wasitutangazie ?yaaani wanaboa wanaboa wanaboa hasaaaa
 
f6bdb4c1b1df8198a8a881f4035529cc.jpg


Check vile pesa zetu vanavyotumia kujengea majumba yao ambayo mwisho wa siku yanakosa wapangaji...
 
Mkuu na mm hii wiki ya pili naenda nasumbuana nao, hawatoi ela
 
nilipeleka fomu yangu tar 15/05 nimeenda kufuatilia leo wananiambia hawaprocess mafao ya kujitoa kuanzia tar 11. hivyo wenye fomuzao watajibiwa kwa barua. Nasubiri barua hiyo nianze process za kutafuta legal assistance. I think we can join up hands.

Nashauri kwa wote waliokumbwa na shida hii tutim up as from now before is too late!

my number is: 0784 77 41 02
Yangu hii 0784746840 mimi ndo hata form sikupata walisema tu wamesitisha
Tufungue group za watsapp ili tuwe tunapeana taarifa wahanga wa ppf
 
Bora nisiingie hii mifuko niendelee kuipiga hela yangu juu kwa juu.....miaka 60 vimilioni 25 thirty years to come si itakua buku....
 
hahahahah nchi inapoelekea ni pabaya sanaaa haya tutaisoma wote number,

Wafanyakazi watakua watumwa wa mwajiri. Former Federal Reserve chairman wa Marekani alishawahi kusema if you can make the employment to be unsecure the workers will serve the masters gladly.

Sasa utumwa utarudi. Watu watakandamizwa na kunyonywa makazini lakini wataendelea kubaki kwasababu hata ukifukuzwa utaenda wapi na hutapata mafao kama pesa ya kujikimu wakati unatafuta kazi.
 
Na mm nipo huko ppf.... Hii taarifa imenistua sana coz nlikua napiga mark time niachane na hki kibarua nikajiajiri!
 
Tu
Na mm nipo huko ppf.... Hii taarifa imenistua sana coz nlikua napiga mark time niachane na hki kibarua nikajiajiri!
fuatilie kote maana nasikia na taarifa za ndani tu ssra hawahusiki sina uhakika ebu tufuatilie
 
KIUHALISIA HAPA PPF IPO TABANI HIVYO WANATUMIA NJIA SISIZO ZA HALALI KUWATAPELI WATU KWANZA UKIFIKA KWENYE MATAWI YAO HAMNA TAARIFA YOYOTE YA SERIKALI WANAZINGUA TU
UKIWAULIZA ISHU IMETOKEA WAPI WANASEMA SERIKALI UKIJIULIZA NI SERIKALI IPI MAJIBU.HAMNA
 
Nimeenda PPF Northern Zone Arusha leo, jamaa hawana hoja ya Msingi ya kuzuia na kuondoa fao hili la Withdraw Benefit zaidi ya siasa na maneno yasiyo n hoja... kwa ufupi ni upuuzi mtupu
 
Na mm nipo huko ppf.... Hii taarifa imenistua sana coz nlikua napiga mark time niachane na hki kibarua nikajiajiri!
Pole sana mkuu, PPF ishakua kimeo. Siku niliyokwenda pale niliwaambia mkiona jina langu limetokea tena nachangia kwenye mfuko wenu Mniue hamuwezi mkazuia hela zangu nazo zifanya kwa jasho langu eti nisubri mpaka nifikishe miaka 55. si.mshauri mtu aweke PPF.
Hivi hiyo sheria ipo kwa mifuko yote??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom