Omar Assassin
New Member
- Feb 29, 2016
- 4
- 0
Ni Waizi Wakubwa Hawa Jamaa Na Mungu atawashindaPPF sio mfuko tena wakuweka mafao yetu.
Ni Waizi Wakubwa Hawa Jamaa Na Mungu atawashindaPPF sio mfuko tena wakuweka mafao yetu.
Nmi naona wanabana ili kuvuta siku hadi mwezi wa saba kwa ajiri ya sheria zao. mi naona kama kuna uwezekano tuungane tuchage pesa kidogo halafu tuandae na tulipie tangazo kwenye vyombo vya habari,kueleza uhuni wao ili kila mtu ajuwe,kwani wao wanatangaza uzuri wa Huduma zao nasi pia tuelezee jamii ukweli wa matokeo ya Huduma zao.
kwani hata ukiamua kwenda wapi hakuna msaada kwani wote ni kitu kimoja.
N
Nilisikia kuwa fao lipo ila ppf bado wanabana
sasa kama lipo si bora waachie au wanataka hadi watu waandamane?N
Nilisikia kuwa fao lipo ila ppf bado wanabana
Dawa ni kuungana tu kupambana nao warudishe fedha zetu habari za kulazimishana miaka 60 ndo kitu ganiWanasema eti hakuna sheria hiyo!!! Sasa hela yangu itaishia huko? Haiwezekaniii!!