Mitomingi8s
Senior Member
- Jan 17, 2011
- 132
- 39
Habari za jioni wandugu,
Nimekutana na janga la kitaifa mwenye taarifa kamili atujuze hawa jamaa wa PPF wamekataa kuandaa mafao yangu sababu eti SSRA wamezuia wako kutokupokea any claim for withdraw. Nilipowauliza wapi evidence i mean waraka au any document hakuna jibu wanabaki wanaangaliana nimeomba wanipe wakasema ni memo ya ndani sasa ndani na sisi member haituhusu?. nataka pesa yangu niende kulimia siyo ikae bure tu na mimi kazi nimetupa kule nimekuwa mjasiliamali
Naombeni msaada hapo wanaojua details