SSRA wazuia ku-withdraw mafao PPF kimya kimya

SSRA wazuia ku-withdraw mafao PPF kimya kimya

Inaonyesha ni PPF tu sina hakika huko kwingine
Nafuu hata PPF, mana GEPF ni shida mana ni kama kijiwe cha ulanguzi kwenye ofisi zao.
Wanachama wa GEPF wanapata tabu sana kwenye kupata stahiki zao za mafao.
Mana ni kama wanashirikiana na waajiri kuangaisha wanachama.
Watu walioacha na kuachishwa kazi kampuni ya simu Halotel wanajua vizur huu unyanyasaji na dhuluma wanazofanyiwa na Halotel kwa kushirikiana na GEPF
 
Wanasema eti hakuna sheria hiyo!!! Sasa hela yangu itaishia huko? Haiwezekaniii!!
Mbona mifuko imekuwa ikilipa watumishi walioacha kazi mafao yao muda mrefu sasa? Ina maana wamekuwa wakitumia kifungu gani cha sheria kuhalalisha hayo malipo kwa wengine siku zote hizo?

SSRA is urged to promptly intervene in this matter before it becomes a major concern to the public.
 
Hata hao ccm wamo humo! Ni kutuibia kabisa haki zetu! Wamechezea pesa kwenye miradi y hovyo sasa wanahaha mifuko imeyumba! Haiwezekani! Haiwezekani!


Ni mpango mkakati wa mifuko yote mpk ufikishe 50-55years Kama sikosei?

Mda c mrefu mtaelewa maana ya upinzan namba ikizid kusomeka

CCM Oyeee.
 
Pole na wewe yamekukuta haya tuungane wote tutafute majibu ebu wacheki SSRA kwanza tuone mimi nimepost kwenye webu yao kuwauliza baana kuona sion contact zao.........
Namba za simu za SSRA ni 022 2 761 683/4. Jaribu hizo.
 
Sasa ule muda wa kulipiza kisasi ndo umefika!
 
Kweli muda w kutukomesha ndio umefika! JPM anajikausha kama hajui kinachoendelea! Au lengo ni kusahaulisha Lugumi ipite Mpwa asitumbuliwe? Maana walioachishwa kazi wataishije hela zao zimelala huko?
 
Hao wanajifanya miungu watu,wanafanyakazi kwa uzoefu.Kama hakuna waraka wa serikali basi maelezo yao sio kitu
 
Pole na wewe yamekukuta haya tuungane wote tutafute majibu ebu wacheki SSRA kwanza tuone mimi nimepost kwenye webu yao kuwauliza baana kuona sion contact zao.........
Mitomingi, achana na mambo ya call, waandikie barua rasmi uwapelekee hao regulator wamifuko, hakikisha unabaki na nakala ya barua yako, then komaa kufuatilia majibu ya barua yako tena uwe kauzu kabisa unapowafuata.
 
huu ni wizi sasa... ajira zenyewe za kisasa zilivyo na mateso... watu wamtumikie mwajiri hadi wafike miaka 50 kweli??
 
Wametumia pesa yenu kujenga mijengo ambayo haina wapangaji sasa hawana fedha za kuwalipa mafao yenu... Nendeni mkakae kwenye majengo yao alafu mtakatana humo humo...
 
Hivi Taratibu za kuwa stateless inakuwaje nimechoka hii na mambo yake.
 
Mbona kama mamlaka inaweweseka inashindwaje kumsaidia mwanachama, yani SSRA kama haina meno vile...
 
  1. wacha muosome namba nyie watumishi kwa ujumla wenu ndo mlioturidishia hili dude la kijani na njano......
 
kwa mwendo huu 2020 hakuna kura zitakazo hatibika wala kuibiwa
 
Pia GEPF wameanza huo mchezo, watanzania tushikamane katika hili.
Mana haiwezekani watu wakachezea jasho la mtu kirahisi namna hiyo.
Tunamuomba Rais afatilie utendaji wa hii mifuko pia SSRA.
Mana ni kama wanapima upepo kwa michezo yao michafu wanayotaka kuanza.
ni kweli ,lazima tupambane na unyonyaji
 
Daah Tanzania miaka mitano hii sijui hali za wananchi zitakuwaje? Movie hii ndefu sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom