Squid Game imesukwa haswa

Hii kazi weka mbali na watoto nimemaliza kuicheki mda so mrefu.
 

Na ndege hakupanda baada kupiga simu kwenye ile card aliyochukua kwa dogo ,kawachimba biti wale jamaa front man kamwbia kapande ndege jamaa na safari ikaisha pale
 
kitendo cha jamaa kuonekana airport anataka kwenda usa ni wazi kwamba hela aliamua kuzitumia kwasababu bila zile hela hakuwa hata na nauli tu ya kupanda bus mjini hivyo safari ya usa asingeweza hata hivyo alighairi safarii baada ya kujua jamaa bado wanaendelea na ile game
 
wazee wa kuskip hao wanatafuta scene za mkono na kugegeda ndo maana hawaelewi chochote


Gi hun ameghairi anarudi tena kwenye game lets the play the game
 
uko vzuri...ww umenipa mood ya kucheki yani nimeidownload ila ipo tuu
 
Na huyu jamaa angekuwa mshiriki angefia kwenye game ya kwanza tuu
 
πŸ˜† πŸ˜† hapo angekua professor angekuja hadi na plan Z
ya kuchonga hako kamwamvuli
 
duh! we kamcheki tu professor

kwa upande wangu naona main character kaipatia na anaendana na uhalisia
sababu sehemu nyingine inaonekana anabahatika tu, sio mtu anaejua kila tukio linalo kuja mbele
( sio lazima main character awe na minguvu mingi na miakili mingi kama ilivo zoeleka)

ile ndo michezo yao waliokua wanacheza utotoni
usihofu season 2 wataweka kombolela na kidali ili uelewe vizuri

we hujawai piga simu wakati unaharaka ya kitu alafu mtu anakuletea story nyingine?
sasa ndo pale mwamba anapiga simu alaf jamaa anamwambia tulikua tunakutafuta

we huoni pale zile video nyingine alizo tuma zimegoma
( kunatofauti kati ya kupiga simu na kutuma video kimtandao)

hujaitendea haki kabisa hii series 10/10 inastahili bila ubishi
 

Nadhani wewe ndio ulikuwa unasinzia maana yule kaka alikuta mama yake amekufa na yule mtoto alimpeleka kwa mama wa rafiki yake yule aliyekufa kwenye game, na alifanya hayo baada ya mwaka mzima kupita
 
Mm sijaelewa song woo alimdanganya nn Ali Abdul mpaka ikawa vile
Alimwambia asijali wamechaguliwa ili wawe timu moja ko wasubiri wasicheze kwanza mpaka muda uishe. Muda ukiisha na wakiwa hawajacheza au hakuna alochukua golori za mwenzie basi itaamriwa wacheze timu yao na hizo nyingine ambazo pia mahindi hajapatikana. Alii akaingia kingi then mchizi akamwambia basi we shika hizi golori( akamwekea mawe πŸ˜‚πŸ˜‚), uende ukatafute timu dhaifu yenye wazee wazee ili iwe rahisi sisi kupita.

Alii akaenda kweli bna, huku nyuma jamaa akaonesha golori zakd 10 akisema.
"Si mlisema kanuni ya mchezo ni kuchukua golori zote za mpinzani wako kwa njia yoyote bila violence, basi hizi apa".

Akapita huku nyuma Alii mbumbumbu akala ya kichwa.
 
Mkuu yuke main character hana ujuzi wowote wa kijasusi wala kupigana yani ni jamaa tu street guy wa kawaida kabis. Unaposema hakuandaliwa vizuri unakossa yani vile kuonekana kutoandaliwa ndo kuandaliwa kwenyewe sasa. Anapita kwa bahati tu na sometines kilichokua kinambeba ni namba yake, mahusiano yake mazuri na watu( yule mzee).

Na yule askari angejulikanaje mkuu wakati uingiaji wake , aliingia kama wale masupervisor wengine. Na ni rahisi kucope up coz mko wengi ni kuwafata tu wenzio wanachofanya na wewe unafanya.

Tatizo wengi mshazoea main character(s) anakua na maajabu, anakua na miguvu isiyomithirika, jasusi la hatari.
Nadhani season 2 itakua hivo unavotaka mkuu.
 
hii movie ni utopolo tu nilimaliza bundle langu bure, mtu aliyeangalia prison break ,breaking bad, IRIS ,Athena hawezi kusifia huu utopolo
Breaking bad ni my favorite ya muda woote...
Back in days kipindi ushoga haujaanza kuingizwa kwenye series...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…