Spray gani nzuri ya kiume

Mi sasa hivi natumia Be Delicious by Donna Karan.

Inanukia utamu sana hio kitu, kama una demu wako anapenda hayo madude be assured kwamba anaweza ingia kingi kwa hilo ji scent langu tu. Mwenye uwezo aitafute hii kitu, atakuja simulia vyema.
hii kwa kiswahili cha kikwetu tunasema nunua uwe mtamu kama mcharo
 
Mi sasa hivi natumia Be Delicious by Donna Karan.

Inanukia utamu sana hio kitu, kama una demu wako anapenda hayo madude be assured kwamba anaweza ingia kingi kwa hilo ji scent langu tu. Mwenye uwezo aitafute hii kitu, atakuja simulia vyema.
Be Delicious....sounds feminine. Sio ya kike hio?
 
Mi sasa hivi natumia Be Delicious by Donna Karan.

Inanukia utamu sana hio kitu, kama una demu wako anapenda hayo madude be assured kwamba anaweza ingia kingi kwa hilo ji scent langu tu. Mwenye uwezo aitafute hii kitu, atakuja simulia vyema.
Delicious tena, unamchokoza mkubwa wa mkoa na kijana wake konki konki konki master
 
Back
Top Bottom