Spray gani nzuri ya kiume

Kuna Spray nyingine mtu akitumia hadi unaskia kama ubongo una shake kwenye kichwa ina harufu kaliii,

Nataka spray ambayo ni smooooth yaani ukijipulizia husumbui watu wengine walio karibu yako
 
Mi sasa hivi natumia Be Delicious by Donna Karan.

Inanukia utamu sana hio kitu, kama una demu wako anapenda hayo madude be assured kwamba anaweza ingia kingi kwa hilo ji scent langu tu. Mwenye uwezo aitafute hii kitu, atakuja simulia vyema.
Bei gani?
 
Me natafuta mafuta mazur maana ngoz ya kwenye Viganja mikavu unakuta imepauka Muda wte inaonekana Haina mafuta Sasa nitumie mafyta gan mazur ambayo yatafanya iwe fresh isiwe Liiiiiiiine Kama wanaume wa D@@@@@@@@@r
 
weka glycerine hayo mafuta

me mwenyewe mafuta yanayonikubali ni rinju tu nkitumia mengne tu naharbika vbsya mno
 
MasterB collection, ila naona unataka adondoke koz siioni ya 15$, labda iwe imitation au vile vya 2mililiter not designer og
 
Back
Top Bottom