Spray gani nzuri ya kiume

  • Thread starter morgan fisherman
  • Start date
Super women 2

Super women 2

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2016
Messages
5,181
Points
2,000
Super women 2

Super women 2

JF-Expert Member
Joined Nov 16, 2016
5,181 2,000
TUMIA DARK FEVER.
NINZURI SANA KILA MTU ATAKUULIZA NA KUKUSIFIA.
MIMI NATUMIA DARK FEVER...NENDA KWENYE DUKA KUBWA LA PERFUME UTAIPATA..
HAIZID 17000
Ipo so romantic mpaka unatamani kuila hivi 😘😘😘😋
 
Madimba jr

Madimba jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2017
Messages
1,234
Points
2,000
Madimba jr

Madimba jr

JF-Expert Member
Joined Aug 12, 2017
1,234 2,000
Kuna Spray nyingine mtu akitumia hadi unaskia kama ubongo una shake kwenye kichwa ina harufu kaliii,

Nataka spray ambayo ni smooooth yaani ukijipulizia husumbui watu wengine walio karibu yako
tafuta spray yaitwa 'every one' iko soft sana tamu balaa mi ni mbovu sana na harufu za ajabu ajabu za mipafyumu na masprei huwa kichwa kinauma sana,ila kwa every one mzee baba nimekaa only buku 3500-5000.kutegemeana na sehemu ulipo
img_20181208_105314-jpg.959981
 
morgan fisherman

morgan fisherman

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2017
Messages
1,319
Points
2,000
morgan fisherman

morgan fisherman

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2017
1,319 2,000
emotion vs dark fever vs issey miyake vs flamboyant vs fighting tempetation .......ipi nzuri zaidi kati ya hizo?
 

Forum statistics

Threads 1,316,185
Members 505,519
Posts 31,881,536
Top