Sitta ame preempt.
Good move...get the "wananchi" to be on your side by crying foul before you are given red card using media.
Hivi lile sakata la nyumba yake na pharmacy limeishia wapi?
Sasa huko kwenye CCM mbona nasikia Makamba ndio kapenya kwenye tundu la sindano?the move was terminated baada ya kuona kwamba jamaa hatikisiki kwa kutumia Media
sasa hivi naona move inakuja nyingine kwa kutumia NEC NA CC
Pole na wewe pia. Spika wako hana uadilifu. Na kama hajui kuiongelea Zanzibar vizuri atakwenda na maji.Poleni vilaza wa mtandao wa CCM-fisadi.
Pole na wewe pia. Spika wako hana uadilifu. Na kama hajui kuiongelea Zanzibar vizuri atakwenda na maji.
Kwani wewe ni fisadi?, mbona unaongea kama wewe ni mlengwa. Na suala la Zanzibar limeingiaje humu?, Au unataka aendeleza zile siasa za kitoto na kipuuzi za kinzanzibar za kuficha mabomu kwenye madaraja na kuyaibua kisha kutisha wananchi, na kuleta mizengwe kwenye uandikishaji. Siasa za kinzanzibar ni za ki-hamijei kweli, hata mtoto mdogo humdanganyi.
Mwachezi Sitta afanye kazi, wakati wa kulindana umeisha, kitakachomlinda mtu ni uadilifu wake tu.
hao vilaza wa mtandao ndo waliompa USPIKA kwa mbinuu zaooo...Poleni vilaza wa mtandao wa CCM-fisadi.
Mbona taarifa za mwanahalisi na mwanachi leo zinatofautiana?Mwananchi leo linasema hivi kwa kifupi hapa nankuu
Mkkati unaoonekana kuwa uliandaliwa na kundi linalotuhumiwa kwa ufisadi kwa ajili ya kumshughulikia Spika wa bunge kwa kumvua uanachama kwa madai ya kukidhoofisha chama jana uligonga ukuta baada ya wazee wa chama hicho kuukwamisha kutokana na kuhofia mpasuko mkubwa.
Wajumbe 22 wa NEC ya CCM walitoa hoja za kutaka spika sita afukuzwe kwa kile wanachodai kuwa ni mtu hatari ambaye akiendelea kuachwa atakiweka chama pabaya.
Hata hivyo habari kutoka ndani ya kikao hicho zinasema Sita Aliomba radhi na kusamehewa.
Sasa ukisoma vizuri habari ya mwana halsi mbona inakinzan na habari hii.
Ndo maana Zombe anataka kuvishitaki vyombo hivi
Source Mwananchi ya leo
Mbona taarifa za mwanahalisi na mwanachi leo zinatofautiana?Mwananchi leo linasema hivi kwa kifupi hapa nankuu
Sasa ukisoma vizuri habari ya mwana halsi mbona inakinzan na habari hii.
Ndo maana Zombe anataka kuvishitaki vyombo hivi
Source Mwananchi ya leo
sasa sitta ana uadilifu upi?
Dah mafisadiso wanakazi kweli kweli kinacho niuma mimi yanakubalika sana kwa wananchi sijui yanatumia uchawi?
Angalia tarehe!!! MwanaHalisi lilitabiri kabla, ni toleo la wiki iliyopita (Jumatano) na ndicho kilichotokea. Kwa hili waliandika ukweli sana.
Haya magazeti hasa Tanzania Daima, Mtanzania, Mwanchi source yao ni moja kwa kumkomoa Spika lakini ukisoma Majira, Nipashe ndo utapata ukweli kuhusu hili suala.
Ndo maana nampenda sana Kubenea yeye anakutajia na majina waziwazi namuombea Kwa Mungu amlinde. Ila MAFISADI WATASHINDWA pamoja nakuwa wanapesa nyingi kutikiza nchi kwenye magazeti, JF, NEC watashindwa.