Umenikumbusha wauza bangiliNaombeni musikilize hotuba ya Ndugai kwa madiwani.
Sikilizeni anavyotetea suala la makato kwa njia ambayo binafsi nimeshindwa kuelewa kama hiyo ni hotuba ya mbunge au rais. Kwa ujumla utaona shida inakoanzia ni wapi. Huyu ni mbunge mzoefu, bado ana akili ya aina hii. Tunakwenda wapi na mbunge anayetafuta mbadala baada ya kupeleka mawazo hovyo bungeni? Alikwendaje Bungeni kabla ya kutuuliza huo mbadala?
Hili la wabunge kutolipa kodi ni jambo la ufisadi. Walichokifanya waliweka mshahara wa mbunge kuwa ni milioni 2+, halafu wakaweka posho kibao hadi kufikia milioni 8. Ukiangalia utaratibu huo ina maana wanakwepa kodi kwa makusudi kabisa, kwa kupanga.huyu anataka kutukamua tutoe kodi wakati yeye halipi kodi ila anaongoza kutumia kodi zetu vibaya yeye na mke wake. Mpaka leo bunge halijajadili ripoti ya CAG kwa sababu mkewe ni miongoni mwa watuhumiwa ameizima kama alivyoizima ripoti ya Prof. Asad
Huyu ni mwehu. Spika hiyo sio kazi yake.Naombeni musikilize hotuba ya Ndugai kwa madiwani.
Sikilizeni anavyotetea suala la makato kwa njia ambayo binafsi nimeshindwa kuelewa kama hiyo ni hotuba ya mbunge au rais. Kwa ujumla utaona shida inakoanzia ni wapi. Huyu ni mbunge mzoefu, bado ana akili ya aina hii. Tunakwenda wapi na mbunge anayetafuta mbadala baada ya kupeleka mawazo hovyo bungeni? Alikwendaje Bungeni kabla ya kutuuliza huo mbadala?
Hiki kibushuti kipuuzwe tu.Naombeni musikilize hotuba ya Ndugai kwa madiwani.
Sikilizeni anavyotetea suala la makato kwa njia ambayo binafsi nimeshindwa kuelewa kama hiyo ni hotuba ya mbunge au rais. Kwa ujumla utaona shida inakoanzia ni wapi. Huyu ni mbunge mzoefu, bado ana akili ya aina hii. Tunakwenda wapi na mbunge anayetafuta mbadala baada ya kupeleka mawazo hovyo bungeni? Alikwendaje Bungeni kabla ya kutuuliza huo mbadala?
Huyu ana magonjwa mtambuka.Huyo ni Mgonjwa wa akili kama mwendazake
Miaka 60 wameshindwa kuyafanya hayo anayosema ndugai je hiyo miaka 4 iliyobaki kufikia 2025 ndio wataweza?Naombeni musikilize hotuba ya Ndugai kwa madiwani.
Sikilizeni anavyotetea suala la makato kwa njia ambayo binafsi nimeshindwa kuelewa kama hiyo ni hotuba ya mbunge au rais. Kwa ujumla utaona shida inakoanzia ni wapi. Huyu ni mbunge mzoefu, bado ana akili ya aina hii. Tunakwenda wapi na mbunge anayetafuta mbadala baada ya kupeleka mawazo hovyo bungeni? Alikwendaje Bungeni kabla ya kutuuliza huo mbadala?
Kuna umuhimu wa kuheshimu watu lakini kwa ndugai wala sisiti kumuita mjinga mnafiki mpumbavu na mwenye roho mbaya mno hata ukiliangalia tu linapoongea utaliona kuwa limelewa madaraka na wala halikustahili kuwa hapo lilipo lipo kwa sababu ya marehemu fulani wanaefanana akili. Liliumwa likaenda india kutibiwa kwa milioni nyingi mno za kodi hilo limeshasahau bado linagomba kutaka raia wakatwe kutoka kwenye pesa za vitumbua wakati zakwake limeweka matakoni na familia yake linaringa kwa sababu magufuli kwa ulofa alikubali kuliwekea kinga ya kushitakiwa ndiyo maana linafanya mambo kipumbavu kwa sababu hamna cha kulifanya likistahafuNaombeni musikilize hotuba ya Ndugai kwa madiwani.