Chadema walikosea? Una Katiba ya Chadema?Mpaka hapo inaonesha wazi spika anajua chadema walikosea wapi kisheria ndio maana kila siku anawataka wapeleke
Maybe kwenye hiko kikao akidi ilikuwa haijatimia au kuna mapungufu kutokana na Katiba yao
Hakidi haikutimia wakati watu maelfu kwa maelfu walikesha mlimani city kwenye kikao cha kamati kuu?Mpaka hapo inaonesha wazi spika anajua chadema walikosea wapi kisheria ndio maana kila siku anawataka wapeleke
Maybe kwenye hiko kikao akidi ilikuwa haijatimia au kuna mapungufu kutokana na Katiba yao
Huyu naye kaanza kuharisha humu jukwaani anashindwa kuchunga kondoo anakuja kwenye siasaHuyo ni Ndugai.. Ati spika wa bunge linalo tunga sheria.
Halafu yeye hajui sheria.
Kama ameleta kanuni zinaanza leo na siyo nyuma
Hivi alishindwa nini kuwa pigia Chadema simu alipo pata barua yao miezi mitano iliyo pita? Ati leo ndio ana simama na kutoa
Maelekezo ya kipuuzi?
View attachment 1776270
Mkuu umeuliza awali zuri sana na wengi wanalikwepa. Je uteuzi wa wabunge ukifanywa na mamlaka sahihi?? Kwa sababu Ndugai anajifanya hajui walifukuzwa kwa sababu gani. John Mnyika anadai vikao husika havikuwateua hawa kuwa wabunge - anadai waligushi!! Na kufukuzwa kwao ni kwa sababu wabunge hawa walipoka mamlaka na kujiteua.Kwani ni nani aliwateua kuwa wabunge?
safi sana spika kama wanashindwa basi hawana nia ya kuwavua uanachama na kama hawaleti vielelezo basi kuna sehemu wamebugi sana wanaona wakileta tu kimewanukia siyo myika kwa kuwa aliambiwa na mdee kuwa alikuja na ndala chadema basi ndiyo anataka kumrudishia kwa hapo amenoa walete viambata
The Legendary, Untouchable, Chosen one, Jiwe the Great ndio aliwachagua.Kwani ni nani aliwateua kuwa wabunge?
Ndugai kajificha chini ya kivuli cha NEC maana majina ya Wabunge yanatoka NEC. Hili swali hata Ndugai mwenyewe atalirefer kwa NECJohn Mnyika anadai vikao husika havikuwateua hawa kuwa wabunge - anadai waligushi!! Na kufukuzwa kwao ni kwa sababu wabunge hawa walipoka mamlaka na kujiteua.
hapo ndiyo kwenye shida kuu kwanini mbowe yuko kimya sikuhizi anajuwa nani alipeleka majina sasa hawa wakienda kwenye rufaa tu kimenuka ndiyo maana hata rufaa hawataki utashtukia imefika 2025Mkuu umeuliza awali zuri sana na wengi wanalikwepa. Je uteuzi wa wabunge ukifanywa na mamlaka sahihi?? Kwa sababu Ndugai anajifanya hajui walifukuzwa kwa sababu gani. John Mnyika anadai vikao husika havikuwateua hawa kuwa wabunge - anadai waligushi!! Na kufukuzwa kwao ni kwa sababu wabunge hawa walipoka mamlaka na kujiteua.
Ni vema kujua kama waliteuliwa au walijiteua!
yes wamepeleka majina wenyewe halafu wanayakana waende mahakamani wakaseme wamefogiwaNdugai kajificha chini ya kivuli cha NEC maana majina ya Wabunge yanatoka NEC. Hili swali hata Ndugai mwenyeww atalirefer kwa NEC
Kwenye hayo madai ya forgery nadhani hata NEC wanaweza kujitoa ufahamu na kuitaka CHADEMA ikaithibitishe hiyo forgery kortini