...elimuDodoma. Spika wa bunge, Job Ndugai amewataka wanawake wenye mamlaka kutotumia vyeo vyao vibaya.
Spika Ndugai amesema mtu akipewa mamlaka halafu akaanza kuvimba na kushurutisha kwa kuwaweka watu ndani kwani kunawaondolea sifa ya kuwa viongozi.
Kwahiyo Wabunge wa Uviko wa kumi na tisa wamekuwa Wajasiria K 😆😉Habari ndiyo hiyo
Ndiyo maana hawagusikiKwahiyo Wabunge wa Uviko wa kumi na tisa wamekuwa Wajasiria K
Atakutana nalo huko kwa kina SarahTayari dongo kwa chief Hangaya
😆😆😂Ndiyo maana hawagusiki
Hivi Mbowe anarudi lini toka mapumzikoni?Kwani kamuweka ndani nani??
Shughuli imeanza!! Hivi jiwe nae alivyokuwa akifoka na kufukuza watu...Dodoma. Spika wa bunge, Job Ndugai amewataka wanawake wenye mamlaka kutotumia vyeo vyao vibaya.
Spika Ndugai amesema mtu akipewa mamlaka halafu akaanza kuvimba na kushurutisha kwa kuwaweka watu ndani kwani kunawaondolea sifa ya kuwa viongozi.
Ndugai ametoa kauli hiyo leo Novemba 10, 2021 katika ukumbi wa Pius Msekwa bungeni alipokuwa akizindua mafunzo ya uongozi kwa wabunge wanawake.
Mafunzo hayo yameandaliwa na Chama Cha Waajiri Tanzania (ATE) kwa lengo la kuwajengea uwezo wanawake katika uongozi.
Spika amesema Taifa linaloongozwa na mwanamke linakuwa tulivu , amani na salama.
"Lakini kauli za baadhi zinaharibu taswira nzima, wengine mavazi yenu yanakuwa ya hovyo, ukipewa cheo kazi yako inakuwa ni kufoka na kuweka watu ndani jambo linaloharibu taswira ya viongozi wakuu wa nchi," amesema Ndugai.
Amewaagiza wabunge wanawake kujifunza kwa bidii mafunzo hayo kwani ushahidi unaonyesha waliojifunza walibadilika na kuwa viongozi mahiri.
Naye, Mwakilishi wa balozi wa Norway, Karen-Emilie Asla amesema mafunzo hayo ni kichocheo cha kumfanya mwanamke asijisikie mnyonge bali kila mtu anaweza kupewa nafasi.
Mwananchi
Nadhani wakati huo Mr. Marungu alikuwa na jinsia Ke!!Yeye aliyempiga mwenzake mpaka kuzimia ndiyo anafaa kuwa kiongozi.
Kwa mtizamo wako Job Ndugai alimaanisha/alimlenga nan??Naona unajaribu kuleta uchochezi Mkuu,ni wapi Job amemvua nguo Hangaya?ni wapi Hangaya amefokafoka wakati kauli zake ni kuwa yeye hafoki anatumia kalamu tu..
Nadhani huo ni mtazamo wako tu wala Mh Rais hayuko hivyo unavyotaka kutuaminisha.
Serikali ya kufoka foka ilikoma tarehe 17 march tulipotangaziwa ukuu wa alie juu,ambapo kila kiongozi alijaribu kufoka kadri ya uwezo wake kumfurahisha aliempa kazi.
Muache Mama achape kazi.
Aliwalenga wote wenye tabia kama hizo alizozisema ila hakumaanisha wala kumsema Mh Rais wetu sababu yeye hana tabia hizo.Kwa mtizamo wako Job Ndugai alimaanisha/alimlenga nan??
Aliyemuhukumu mbowe na kuiaminisha Dunia kuwa mbowe Ni Gaidi na ushahidi wanao wa kutosha Ni nani?Aliwalenga wote wenye tabia kama hizo alizozisema ila hakumaanisha wala kumsema Mh Rais wetu sababu yeye hana tabia hizo.
Nyani haoni kundule😀Dodoma. Spika wa bunge, Job Ndugai amewataka wanawake wenye mamlaka kutotumia vyeo vyao vibaya.
Spika Ndugai amesema mtu akipewa mamlaka halafu akaanza kuvimba na kushurutisha kwa kuwaweka watu ndani kwani kunawaondolea sifa ya kuwa viongozi.
Niliwaza Kama wewe mkuu, kwamba hii smsm sent to SHINYANGAAnyway ujumbe umefika Shinyanga ila hao Wabunge wa Uviko19 unaowakumbatia inakuwaje.