dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 22,141
- 49,410
... umeeleza vizuri! Na hapo ndipo tatizo la msingi lilipo; uamuzi wa mwisho kwamba fulani ubunge wake umefikia tamati kwa evidence hizi na hizi ni nani? Those powers are vested in the Speaker ambaye tayari alishakataa viambatisho kama ulivyoeleza na kauli yake ni ya mwisho kwenye hilo.Mwambe mwenyewe alijua kwamba alishajivua ubunge baada ya kuhama chama kilichomdhamini ndiyo maana hakurudi bungeni,mpaka alipoitwa na Ndungai.
Chadema walimwandikia spika wakimjulisha kuwa Mwambe sio mwanachama wao kwa vile amejiunga na CCM,lakini Ndungai akasema haitambui kwa vile haina viambatanisho ilihali alitambua barua kama hizo alizoandikiwa kuhusu wabunge wa Chadema waliounga mkono juhudi za mkulu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mtazamo wangu kwa kuzingatia maelzo yako ni kwamba Spika alitakiwa ashtakiwe kwa "double standards" na sio kuvunja Katiba; kavunja vipi katiba wakati hakuwahi (kwa mamlaka aliyo nayo na ndiye peke yake mwenye mamlaka hayo) kutangaza kwamba fulani sio mbunge?