Spika Makinda achezea Kibano - Bungeni Live!

Zitto alisema, kamati hiyo si dark market lakini haikuwa sahihi kuitafsiri visivyo kauli ya Wenje, wao (wabunge) wote ni wanasiasa, wawe na ngozi ngumu.

Baadhi ya wabunge waliendelea kusisitiza kuwa Wenje atoke, Zitto akawajibu kuwa hatoki, na wabunge wengine wakasema “hatoki mtu, tutatoka wote”
 
Zitto alisema, kamati hiyo si dark market lakini haikuwa sahihi kuitafsiri visivyo kauli ya Wenje, wao (wabunge) wote ni wanasiasa, wawe na ngozi ngumu.

Baadhi ya wabunge waliendelea kusisitiza kuwa Wenje atoke, Zitto akawajibu kuwa hatoki, na wabunge wengine wakasema "hatoki mtu, tutatoka wote"

Zitto ni wa ukweli jamani ,tunataka watu kama hawa kula tano Zitto au chukua kumi kabisa !!!!
 
Mie nashauri zile meza ziondolewe halafu viwekwe virti vidogo vidogo vya mbao viavyosaidia watu wasilale na pia kupunguza distance kati ya member na member....for ease jab reach!!! Umbali mdogo kati ya mbunge na mbunge husaidia kuweka nidhamu kikaoni....
 
Mie nashauri zile meza ziondolewe halafu viwekwe virti vidogo vidogo vya mbao viavyosaidia watu wasilale na pia kupunguza distance kati ya member na member....for ease jab reach!!! Umbali mdogo kati ya mbunge na mbunge husaidia kuweka nidhamu kikaoni....
kama bunge la UK
 
hadhi ipi mkuu! Hii yakuombamisaada na kutegemea wafadhili! Au ya kuvua gamba? Ipi mkuu zaidi ya aibu kubwa au ndo science na technoligia au michezo, au uchumi, hahahha sasa hadhi ipi au hii mnayosema ya amani na utulivu! Mmmh sijui unasema ipi mkuu!?


mtu akiishajiita genious brain ana akili timamu kweli? Huna haja kubishana naye.....tangu lini brain ikawa genious?????
 
  • Thanks
Reactions: LAT
mkuu suala la kwenda kuwakilisha nchi kwenye bunge la SADC lazima tujiridhishe kwamba anayetuwakilisha atakua anaelewa vyema yanayojadiliwa huko kwenye vikao vya SADC... na hatuwezi kuingia gharama za kutafuta mkalimani wa kumsaidia huyo atayechaguliwa kutuwakilisha kisa hawezi kuongea kiingereza,
Hapa tusichanganye mambo.
Kuna mambo kadhaa ya kuzingatia.
Kwanza, uamuzi wa kutumia Kiingereza ilikuwa katika bunge letu au katika bunge la SADC? Ikiwa ni katika bunge la SADC, inahusiana nini na kutumia Kiingereza katika bunge la Tanzania?

Pili, kuna heshima ya Taifa, na hii inapatikana pamoja na kulinda utamaduni (lugha ni sehemu ya utamaduni huo) wa Taifa. Hivi unafikiri viongozi wa nchi nyengine ulimwenguni hawaelewi Kiingereza? Na bado wanazungumza lugha zao na kutumia wakalimani. Tatizo letu ni kuwa kwanza hatutaki kuwekeza katika mambo muhimu likiwemo hili la kufundisha wataalamu wa Tafsiri na Ukalimani.

Unaelewa ndugu yangu kuwa kuna nchi chache (ikiwa zipo) zimeendelea kwa kutumia lugha ya kuazima. Sasa ni juu yetu kwa kulijenga taifa hili kwa kuanzia hiki kitu ambacho baadhi wanahisi si cha muhimu kama lugha yetu ya Taifa.
 
Kilichotokea leo bungeni kwa Mh. Wenje kulazimishwa kufuta usemi wake kimemtia aibu sana mbunge huyu, kwani ameonekana ni mtu asiye na msimamo na ni muoga pale anapo kemewa, na hasa pale alipoambiwa kuwa atatolewa nje ya bunge, kama si hekima na busara za Zitto za kumuomba Mh. Spika amvumilie hakujua asemalo kwa kuita kikao cha kamati ya uongozi kilichokaa ni ‘black market’ . Hii imemshushia sana hadhi yake !
Imemshushia hadhi yake wapi?
 
Ukiachilia mbali alichosema Wenje, sakata hili limeonyesha wazi kwamba Tanzania hatuwezi kuwa na uhuru wa kujieleza.

Kama mbunge, muwakilishi wa watu mwenye immunity anapoongelea siasa, hususan bungeni, anaweza kuburuzwa bila hata ya kuulizwa vizuri amemaanisha nini, kwa vigezo gani etc sasa sie wananchi wa kawaida kweli tutaweza kusema kwamba tuna "freedom of speech"?

Spika Makinda kwa kutotaka hata kumuuliza vizuri Mbunge Wenje, na kumburuza "my way or the highway" amejionyesha ni dikteta anayependa umangimeza na kuabudiwa kama mungu-mtu fulani ambaye anaamuru vitu tu bila majadiliano.

Hata kama Spika Makinda alikuwa na point, kwamba Mbunge Wenje ametaharuki, kwa kutompa nafasi Mbunge Wenje kujitetea - na hivyo inawezekana kushindwa kujitetea - amejionyesha ni mtu asiyetaka kufuata kanuni za due process.
 
Mie nashauri zile meza ziondolewe halafu viwekwe virti vidogo vidogo vya mbao viavyosaidia watu wasilale na pia kupunguza distance kati ya member na member....for ease jab reach!!! Umbali mdogo kati ya mbunge na mbunge husaidia kuweka nidhamu kikaoni....

hilo nalo neno!
 
hakuna freedom aof speech hapa, inamaana wao wanataka watu wafuate kile ambacho wanachotaka
 
kwa ujumla huyu mama hana matatizo fulani ya kiakili, si mzima, ni basi tuu unakuta kwenye jamii kuna watu wanabahati yakuwa favoured kwenye system, mtu mwenye haiba ya huyu mama katika mazingira yaliyo fair, atakuwa failure.
 
DarkMarket

From Wikipedia, the free encyclopedia


For secretive, unregulated trading in commodity futures, see dark market.
DarkMarket was an English-speaking internet cybercrime forum created by Renukanth Subramaniam in London and was shut down in 2008 after FBI agent J. Keith Mularski infiltrated it using the alias Master Splyntr, leading to more than 60 arrests worldwide.[1] Subramaniam, who used the alias JiLsi, admitted conspiracy to defraud and was sentenced to nearly 5 years in prison in February 2010.[2]

The web site allowed buyers and sellers of stolen identities and credit card data to meet and conduct criminal enterprise in an entrepreneurial, peer-reviewed environment.[3] It had 2,500 users at its peak.[4

Let us help you think, for you can't think for yourself. Soma na hii ulinganishe na mazingira ya kamati ya bunge husika, upate kujivua gamba:

What Does Black Market Mean?
A type of economic activity that takes place outside of government-sanctioned channels. Black-market transactions typically occur as a way for participants to avoid government price controls or taxes, conducting transactions 'under the table'. The black market is also the means by which illegal substances or products - such as illicit drugs, firearms or stolen goods - are bought and sold.

asante kwa kumsaidia ndugu yetu tofauti ya "dark market" na "black market"
 
Nimeona maajabu leo bungeni. Wabunge hawamuheshimu yule mama,hata wa ccm ndo kaabisaaa!
Makinda anashindwa kuzuia kelele za wabunge wa ccm za kumtaka wenje kutoka nje, mwanasheria mkuu anashauri matumizi ya sheria kandamizi kabla mtuhumiwa Wenje hajaulizwa alikuwa anamaanisha nini kwa matumizi yake ya maneno dark market.

Naamini hatuna speaker, na wabunge wa ccm wakiendelea na mkakati wa kutaka kuburuza wengine, basi itafika siku zitapigwa mule bungeni. Leo nimeona dalili.
 
Zito amwambia wenje amepotoka kusema dark market kamati ambayo mbowe na zitto walikuwemo kupitisha maamuzi yako,wenje aondoa.Zitto azuia wenje kutolewa nje
 
Back
Top Bottom