Spika Makinda achezea Kibano - Bungeni Live!

Spika Makinda achezea Kibano - Bungeni Live!

Ukiisha futa ina maana huna msimamo tofauti na watu wanavyo mjua !
Kwa tunavyomjua Spika ambavyo sio muelewa, Wenje kufuata usemi sio kwamba anamuogopa Spika ila kumbuka kuwa huo usemi umegeuzwa na sio kufutwa
 
yeye alidhania bunge ni sehemu ya kuvua samaki kule mwaloni wanajisemea maneno yoyote, wajuzi wa mambo wamemuumbua
hii ndiotabu yakuchagu wavuta majani yaleee yavijana wa mwaloni,huyo amezoea kuropoka bila mpango sasa wacha wamuumbu,nawahurumiasana watu wamwanza kuchagua mbumbumbu kama huyu kuwa kumwakilishi wao bungeni.
 
Jibu hoja acha kulia na kutoa maneno yasiyo na mashiko

Wewe mtoa mada unatakiwa utoe mada zenye hoja ili ujibiwe kwa hoja.. ukitoa mada ya kitaarabu utapata majibu yanayofanana na hoja yako.. Hoja yako haina mashiko unategemea nini... Mtu kukubali kosa ni kujidhalilisha.. Hivi wale waliowakusanya watoto kuwajaza ukumbini majuzi walijidhalilisha ama tuiteje. Hiyo hukuiona uilete hapa. PUMBAF!
 
Kama nilivyoelewa ni kuwa Kamati ya Uongozi ilichemsha katika katika suala la uchaguzi wa wajumbe kuwa watu 3 wa kupigiwa kura knyume na kanuni ambayo ilitaka watu 6 wapigiwe kura. Wenje alikosea katika kutumia lugha mbovu lakini si katika hoja.

Wenje amekubali kufuta maneno "black market". Si vibaya kufanya hivyo, lakini kama kamati ya uongozi ilikosea naye amefanya vizuri kuikosoa.

Sikuamini macho yangu kuona Wenje wabunge aliposema atoke nje , alikuwa mdogo na uso wake ulikuwa wenye wasi wasi , kweli bunge lina nguvu !
 
Kwa nini kiswahili kimewagomea WaCongo( DRC), Wakenya na Waganda ingawa wanakipenda sana?
 
hii ndiotabu yakuchagu wavuta majani yaleee yavijana wa mwaloni,huyo amezoea kuropoka bila mpango sasa wacha wamuumbu,nawahurumiasana watu wamwanza kuchagua mbumbumbu kama huyu kuwa kumwakilishi wao bungeni.

Jihurumie wewe unayelamba makombo ya mafisadi na kuwaabudu huku ukiwaacha ndugu na jamaa zako wakiteseka kwa maisha magumu yanayochangiwa na wezi wa mali ya umma.Kumbuka kuna kifo na utatoa hesabu ya uyafanyayo mbele ya haki..
 
Wewe mtoa mada unatakiwa utoe mada zenye hoja ili ujibiwe kwa hoja.. ukitoa mada ya kitaarabu utapata majibu yanayofanana na hoja yako.. Hoja yako haina mashiko unategemea nini... Mtu kukubali kosa ni kujidhalilisha.. Hivi wale waliowakusanya watoto kuwajaza ukumbini majuzi walijidhalilisha ama tuiteje. Hiyo hukuiona uilete hapa. PUMBAF!

Kiukweli Wenje leo ameona nguvu ya bunge, nani alikuambia wale ni watoto ? watu wana umri wa miaka 18 unasema watoto ? soma sheria acha kuleta mahaba hapa ya vyama
 
Jihurumie wewe unayelamba makombo ya mafisadi na kuwaabudu huku ukiwaacha ndugu na jamaa zako wakiteseka kwa maisha magumu yanayochangiwa na wezi wa mali ya umma.Kumbuka kuna kifo na utatoa hesabu ya uyafanyayo mbele ya haki..

Mbona hoja yako haina mashiko, masuala ya kufa kila mtu atakufa. Na tatizo lenu mnapenda vitu vya bure mlivyoahidiwa na CDM, ndio maana maisha yanakuwa magumu, fanyeni kazi kwa bidii na maarifa maisha yatawanyookea tu
 
Huyu tunajua amefikaje hapo. Ni matokeo ya vita kati ya Mafisadi na wanaopinga ufisaidi. Mafisadi wakamweka hapo kwa kumvisha gamba la gender. Hapendi kuitwa Anna anasema yeye ni Anne.
 
hii ndiotabu yakuchagu wavuta majani yaleee yavijana wa mwaloni,huyo amezoea kuropoka bila mpango sasa wacha wamuumbu,nawahurumiasana watu wamwanza kuchagua mbumbumbu kama huyu kuwa kumwakilishi wao bungeni.

Pole mzee wa tamaa, punguza njaa
 
In English, there is no such thing as "Dark Market". So much ado about nothing.

Wazungu waliita Black Market, lakini kwangu mimi nadhani Dark ni sahihi! black walimaanisha mtu mweusi!
 
Mafisadi wapo kazini maana katumwa kwa lengo maalum........
 
bibi makinda ni kinda kuongoza vichwa vya CDM na mbado mpk ajivue gamba.
 
Hilo ndilo Bunge tunataka hata kama makonde kupigwa. Korea Kusini, Taiwan, Kenya na kwingineko wabunge upimana misuli siku moja moja. Anna Makinda anapitia katika kitu kinaitwa "Baptism of Fire".
 
Wanataka kuiga ya wakenya ambako kwenye mijadala mikali wabunge huishiwa hoja na kukunjana mashati! Amakweli makinda ni zao la,......
 
Tell me you are joking!!! Hii kauli imetoka kwa wabunge kweli, tena bungeni???

Hiyo mbona cha Mtoto kuna libunge limoja limeropoka"Tufunge milango Milango tupigane"Et huyu nae Mbunge!! Tunayemtegemea atutungie sheria.Afu mie nahisi ni lile huni la Mtera coz aliwahi kutoa kauli kama hii.Wabunge lazima Mjitathimini hamtutendei Haki kabisa yaani hayo Mamilioni mnayolipwa thru kodi zetu na huo upuuzi na Upumbavu mnaoufanya mnatushangaza sana hamna faida yoyote kwa wananchi pa1 na Nchi kwa ujumla.CCM Mp's muwe serious plz.
 
Back
Top Bottom