Spika Makinda achezea Kibano - Bungeni Live!

Spika Makinda achezea Kibano - Bungeni Live!

In English, there is no such thing as "Dark Market". So much ado about nothing.
 
Can you come forwardii? (yaani ile sauti ya ulizo ya kiswahili)
 
Hehehe breathing pattern inabadilika kwenye kutema ungenge. Lol!
 
could you please tell us the most successful success of ... since establishii?
 
mkuu suala la kwenda kuwakilisha nchi kwenye bunge la SADC lazima tujiridhishe kwamba anayetuwakilisha atakua anaelewa vyema yanayojadiliwa huko kwenye vikao vya SADC... na hatuwezi kuingia gharama za kutafuta mkalimani wa kumsaidia huyo atayechaguliwa kutuwakilisha kisa hawezi kuongea kiingereza,

Hapo wako kwenye usaili kwa hiyo ni vema kutumia lugha ambayo atakayepita atatumia katika kutimiza wajibu wake
 
kwa HIYO UKWELI UNABAKI PALE KUWA CCM WALITAKA KUFANYA UCHAGUZI KWA KUKIUKA KANUNI KWENYE FOMU ZA UCHAGUZI.
HOJA YA MDEE ILIKUWA SAWA NA AMESHINDA DHIDI YA HAWA CCM wanafanya mzaha kwenye mambo ya msingi pale BUNGENI
 
Tuache malumbano ya lugha jamani! Tupeni yanayojiri mjengon
 
Kilichotokea leo bungeni kwa Mh. Wenje kulazimishwa kufuta usemi wake kimemtia aibu sana mbunge huyu, kwani ameonekana ni mtu asiye na msimamo na ni muoga pale anapo kemewa, na hasa pale alipoambiwa kuwa atatolewa nje ya bunge, kama si hekima na busara za Zitto za kumuomba Mh. Spika amvumilie hakujua asemalo kwa kuita kikao cha kamati ya uongozi kilichokaa ni ‘black market’ . Hii imemshushia sana hadhi yake !
 
Although English language is an international communication tool,because they made it so,it is about superiority, it is about attraction,it is about indoctrination,it is about loosing the fundamentals,when you loose your language,all you need is to understand the the basics of the language and relate in the game of survival,Language evolve and changes with time,it could be Chinese or Swahili tomorrow,like it has been Egyptian,Latin,Greek,roman,name it.What is your own language that people will like to emulate?

However,Mps reflected the terrible state of English Language in Tanzania.How are they going to represent us?Labda wawasiliane kwa Ishara

Ben,

What a grammar!!!
 
Laiti kama sheria ingebadilishwa tupate wabunge wenye taaluma sahihi kwenda SADCC kama ilivyo kwenye bunge la Afrika Mashariki.
 
hahaahaha, yanayojiri mjengoni ni ngeli tu na hamna jingine, n broken kwenda mbele.
 
Back
Top Bottom