Spika Anna Makinda achimba mkwara mzito wabunge

Spika Anna Makinda achimba mkwara mzito wabunge

Wanapenda sana kuwataja nguruwe hawa jamaa!
 
Bibi kiroboto ana hali ngumu kwa kweli. Mwigulu nchemba bado hajaanza kufurika eeh?

Kwani bibi kiroboto hajakabidhiwa gobole pale kwenye kiti chake amlenge hata mmoja akafie mbali ili kuonyesha ujasiri wake na kupunguza hayo matusi?
 
Huyu mchungaji Msigwa aliyemwambia Kila mtu anatakiwa afunge Zanzibar ni nani ?
Au watu wanamlisha maneno... ?
kauli kama hizi ndizo zinazoongeza mipasuko hapa nchini ...
 
Tatizo la mizanzibar, kupenda kujipendelea sana, eti wanataka washiriki kwenye mambo yasiyo ya muungano! Huu ni ulagai kwa watanganyika!
 

  • [*=1]Mbunge wa Mwanza Ezekiel Wenje alisema the government is impotent, incompetent, kauli ambayo ilitafsiriwa na baadhi ya wabunge wa CCM kwamba amesema serikali haina nguvu za kiume.

Impoetent-Dhaifu, legelege, isiyojiweza, pia isiyo na nguvu za kiume. kwa mazingira ya sentensi hii maana ya pili haina nafasi kabisa. Kwa hio IMPOTENT ya government hapa ni kuwa serikali ni Dhaifu (weak) na sio ------- kama maccm wanavyojaribu kuwaambia wananchi. ccm in wabunge wengi wa std 7, akina lucy n.k ndio maana uelewa wao ni hafifu.

Kuhusu ile ya Msigwa- UPUMBAVU si tusi ila ni kiwango cha juu kabisa cha ujinga (stupidity). Utaeleza vipi stupidity ya mtu bila kutumia neno hili. Mtu ambaye hawezi kutofautisha IMPOTENT ya ------- na Dhaifu katika sentensi ile ambayo Subject ni serikali. Hata TUNDU lisu aliposema "hoja hii ni ya kutongozea kura 2015" maccm yaliibuka kwa kutokuelewa kwayo ama kwa kujitoa akili yakadai ni neno la kuudhi, Yakaelimishwa kuwa Kutongoza ni kushawishi- Hii ina maana hata kiswahili hayajui haya mazee.
 
Nashauri kuwe na refa wa ngumi bungeni maana wanakoelekea ni huko sas ni bora wapigane kitaalam zaidi
 
Kwa upande wa CDM mbona ni kama wameonewa...Sijaona tusi hapo kwa CDM ila ni ukweli mtupu..
 
Bi kiroboto anachachawa kisanii,mbona kiti kinakenuaga meno yote nje wapinzani wakipigwa maneno ya kwenye khanga???Hana loolote,chakubebwa tu huyo.(lafudhi yake siipendi).
 
lIVINGSTONE lUSINDE,
mWIGULU nCHEMBA na jUMA nKAMIA ni fundamental physical quantities za matusi,maneno ya kukera na kuanzisha vurugu bungeni.
Hao wengine ni derived quantities.
 
Bi.Kiroboto amesema ataanza kuwashughulika wale wote watakaotoa lugha za matusi Mjengoni.
 
Huyu mchungaji Msigwa aliyemwambia Kila mtu anatakiwa afunge Zanzibar ni nani ?
Au watu wanamlisha maneno... ?
kauli kama hizi ndizo zinazoongeza mipasuko hapa nchini ...

Penye ukweli tuuseme ili kurekebisha baadhi ya mambo. Nenda Zanzibar wakati wa mfungo ununue soda kwenye duka uone kama unaweza kuinywa usipojifungia chumbani. Niliwahi kukaa guest moja, nilinunua soda ndani ya guest hiyohiyo nilipotaka kuinywa wahudumu wakaniambia ndugu nenda kainywee chumbani kwako, kiukweli hili tatizo lipo.
 
images
​
Matusi ya Wabunge wa CCM:
Juma Mkamia (Kondoa - CCM).​


  • [*=1]Alimtukana Mbunge wa Chadema Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi (Sugu) kuwa ni mbwa na hawezi kuzungumza naye bali na mwenye mbwa.
    [*=1]Alimtukana mbunge wa NCCR Mageuzi Mbunge wa Kasulu Mjini Moses Machali kuwa si mtu makini hivyo hawezi kutilia maanani hoja zake.
Livingstone Lusinde (Mtera - CCM).
​


  • [*=1]Mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde alitoa lugha ya maudhi kwamba ndani ya bunge kuna watu wana mimba zisizotarajiwa.
Mohammad Amour Chombo (Magomeni - CCM).
​


  • [*=1]Mbunge wa Magomeni Mohammad Amour Chombo alimtukana Mbunge Wenje kwa kusema: "Serikali yetu haina nguvu za kiume, lakini niseme wewe Wenje ni sawa na uzi wa kulainisha kabla ya kuingizwa kwenye tundu la sindano."
    [*=1]Aliunga mkono tusi la Mbunge wa CUF Khatibu Said Haji kwamba Mchungaji Msigwa yawezekana ni mchungaji wa wa nguruwe.

images


Wabunge wa Chadema waliotoa lugha za matusi:
Ezekiel Wenje (Nyamagana - Chadema)
​


  • [*=1]Mbunge wa Mwanza Ezekiel Wenje alisema the government is impotent, incompetent, kauli ambayo ilitafsiriwa na baadhi ya wabunge wa CCM kwamba amesema serikali haina nguvu za kiume.
Mchungaji Msigwa (Iringa - Chadema)​


  • [*=1]Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Msigwa alitumia maneno ya biblia kutoka kitabu cha Mithali 27:22; "Mpumbavu ukimchukua, ukimchanganya na ngano kwenye kinu atabaki na upumbavu wake." Hivyo utendaji wao wanaofanya ni sawa na kuruhusu akili ndogo kuongoza akili kubwa.
    [*=1]"Tatizo ninyi Wazanzibar hamtaki kuguswa, kuhoja mambo mnayofanya likiwepo la kila mwananchi anayeishi Zanzibar afunge wakati wako watu wa dini tofauti. Mimi nawaambieni kamwe hamuwezi kuigeuza Tanzania kuwa nchi ya kiislamu."

Matusi ya Mbunge wa CUF:
Khatibu Saidi Haji (Konde - CUF)
​


  • [*=1]Alimtukana Freeman Mbowe mbunge wa Hai kwa kusema "Mbowe kaja hapa anajambajamba tu" akilalamikia hoja ya Mbowe kuhusu idadi ya watu wa visiwani.

    [*=1]Amtukana Mchungaji Msigwa: "Wewe Msigwa ni mchungaji wa watu au mchungaji wa nguruwe? Alitoa tusi hilo kutokana na Mchungaji Msigwa kutoa kauli ya kwamba Zanzibar kuna udini.

Duh, waheshimiwa sasa wameishiwa hoja wanatupiana majembe. 'Madam speaker punguza zaidi muda waongee dak mbilimbili tu inatosha'
 
Matatizo bungeni yanachangiwa kwa kiasi kikubwa na tabia ya bi kiroboto kutaka kuwabeba CCM. Na mimi hapa simlaumu bi Kiroboto kwani hakuwahi hata kuota kuja kuwa spika ila kuna waliompandikiza kuwa unaweza na wakatumia pesa zao kumfikisha mjengoni na sasa nadhani na wao wanajuta. Vita ndani ya maCCM inaiangamiza nchi. Angekuwa spika ni Mh. Sitta sidhani kama mambo yangekuwa kama yalivyo sasa.
 
Back
Top Bottom