[*=1]Mbunge wa Mwanza Ezekiel Wenje alisema the government is impotent, incompetent, kauli ambayo ilitafsiriwa na baadhi ya wabunge wa CCM kwamba amesema serikali haina nguvu za kiume.
Impoetent-Dhaifu, legelege, isiyojiweza, pia isiyo na nguvu za kiume. kwa mazingira ya sentensi hii maana ya pili haina nafasi kabisa. Kwa hio IMPOTENT ya government hapa ni kuwa serikali ni Dhaifu (weak) na sio ------- kama maccm wanavyojaribu kuwaambia wananchi. ccm in wabunge wengi wa std 7, akina lucy n.k ndio maana uelewa wao ni hafifu.
Kuhusu ile ya Msigwa- UPUMBAVU si tusi ila ni kiwango cha juu kabisa cha ujinga (stupidity). Utaeleza vipi stupidity ya mtu bila kutumia neno hili. Mtu ambaye hawezi kutofautisha IMPOTENT ya ------- na Dhaifu katika sentensi ile ambayo Subject ni serikali. Hata TUNDU lisu aliposema "hoja hii ni ya kutongozea kura 2015" maccm yaliibuka kwa kutokuelewa kwayo ama kwa kujitoa akili yakadai ni neno la kuudhi, Yakaelimishwa kuwa Kutongoza ni kushawishi- Hii ina maana hata kiswahili hayajui haya mazee.