Sema Chilo
JF-Expert Member
- Mar 24, 2012
- 324
- 24
Nashukuru CUF nao sasa wanaliona hili
Ukweli ni kwamba alikosea, na isingekuwa busara za Nchimbi kikao cha bunge kingeendelea mpaka lihamba.
Bunge linaendeshwa kwa sheria na wala sio hisia mkuu, tukio lolote la huzuni linalogusa Taifa moja kwa moja huwa kunakuwa na utaratibu wa kuhairisha kikao cha bunge ili kujumuika na wahanga. Hii haijalishi kuwa wabunge wana uhusiano wa moja kwa moja na wahanga au lah! Kilichotokea ni janga la kitaifa.
Unajua Mama Makinda inabidi abadilike, siku zote anaendesha Bunge katika itikadi zile zile za Mwalimu na mwanafunzi.
Inabidi asanuke na kugundua kuwa pale sio shuleni ni bungeni...na sasa hivi yeye ni Spika na sio mwalimu.
Kwani hawa wabunge wa Zanzibar ni wazamiaji ili wawahi kwenda kupiga mbizi na kuokoa watu au wanataka kwenda kuuza sura kwa wapiga kura wao?
wote hamna hoja za mashiko,, msibebeshe spika hili janga,, Tatizo c hapo ndg zangu
Spika alikuwa Samwel Sitta tuache ubishi hawa wengine wanaigiza tu
Nia ya Spika haikuwa kukataa ile hoja ya Mh. Hamad Rashid bali alikuwa hajapata taarifa za kutosha kuhusiana na ajali hiyo
Mkuu naona hapa unapotoka sasa. Inaonekana huko kwenu hakunaga misiba. Kuwa fair basi hata kidogo, ebo!
Nia ya Spika haikuwa kukataa ile hoja ya Mh. Hamad Rashid bali alikuwa hajapata taarifa za kutosha kuhusiana na ajali hiyo
MMh! hiyo hapo red ni typing error au kiswahili ya huko uliko?Ni muswiba mkubwa sana hapa Zinjibar kwani kila mtaa **** maombolezo.
Inna Lillahi wainna illaihi rajihunna.
Kwani hawa wabunge wa Zanzibar ni wazamiaji ili wawahi kwenda kupiga mbizi na kuokoa watu au wanataka kwenda kuuza sura kwa wapiga kura wao?
Acheni ujinga hapa kila siku tunasikia ajali za magari kuua makumi ya watu sijasikia bunge kuahirishwa kwenda kuhani msiba!
This is double standard!
Alichoharibu ni hapo kwenye RED...subiri watakuja kumjibu hapa.....