Spika akalia kuti kavu

Ukweli ni kwamba alikosea, na isingekuwa busara za Nchimbi kikao cha bunge kingeendelea mpaka lihamba.
Bunge linaendeshwa kwa sheria na wala sio hisia mkuu, tukio lolote la huzuni linalogusa Taifa moja kwa moja huwa kunakuwa na utaratibu wa kuhairisha kikao cha bunge ili kujumuika na wahanga. Hii haijalishi kuwa wabunge wana uhusiano wa moja kwa moja na wahanga au lah! Kilichotokea ni janga la kitaifa.

Unajua Mama Makinda inabidi abadilike, siku zote anaendesha Bunge katika itikadi zile zile za Mwalimu na mwanafunzi.
Inabidi asanuke na kugundua kuwa pale sio shuleni ni bungeni...na sasa hivi yeye ni Spika na sio mwalimu.

Kibaya zaidi mtoa hoja alimuomba atumie busara katika kuahirisha lakini naona hapendwi kuagizwa labda!
 
wote hamna hoja za mashiko,, msibebeshe spika hili janga,, Tatizo c hapo ndg zangu
 
Kwani hawa wabunge wa Zanzibar ni wazamiaji ili wawahi kwenda kupiga mbizi na kuokoa watu au wanataka kwenda kuuza sura kwa wapiga kura wao?

Mkuu naona hapa unapotoka sasa. Inaonekana huko kwenu hakunaga misiba. Kuwa fair basi hata kidogo, ebo!
 
Bange nibangue nikiwa pale kwenye kiti changu cha Uspika wabunge wote wa vyama vya upinzania niwaone wadogo kama piriton au ulezi!
 
Nia ya Spika haikuwa kukataa ile hoja ya Mh. Hamad Rashid bali alikuwa hajapata taarifa za kutosha kuhusiana na ajali hiyo

Usilete usanii wa Kova hapa. SPIKA mwenyewe alisema kama ajali hiyo ingekuwa imetokea Chamwino basi angewaruhusu wabunge waende kujitolea damu? Hiyo sentensi inaonesha kuwa alikuwa na taarifa ya ajali ya meli.

Kama ingekuwa hivyo, kwanini basi wabunge wa upinzani WOTE walitoka nje. Karudi STUDIO kuandika SCRIPTS zako upya!
 
Ni muswiba mkubwa sana hapa Zinjibar kwani kila mtaa **** maombolezo.

Inna Lillahi wainna illaihi rajihunna.
 
Kumbe nao inawauma wasiposikilizwa?Wasimlalamikie sana maana huwa Chadema wakitoka kupinga maamuzi ya speaker CUF wao huwa na kimbelembele kuwalaumu,leo nao wameumizwa na maamuzi yake
 
Speaker hana ubavu wa kuahirisha bunge kinyume na taratibu bila kupata idhini ya wakubwa zake kama vile rais au waziri mkuu. Na moja ya sababu ni financial implication ya kuongeza siku. So kwa hili msimlaumu mama wa watu mtakuwa mnamuonea bure. Tatizo lake kubwa ni kuibeba serikali na kuwabana wapinzani.
 
Mkuu naona hapa unapotoka sasa. Inaonekana huko kwenu hakunaga misiba. Kuwa fair basi hata kidogo, ebo!

Acheni ujinga hapa kila siku tunasikia ajali za magari kuua makumi ya watu sijasikia bunge kuahirishwa kwenda kuhani msiba!

This is double standard!
 
Jamani na yeye si yeye bali ni mzimu unao tafuna serikali dhaifu,hakuna nyanja yoyote yenye unafuu,ni uozo,upuuzi,ujinga,wizi,kejeli,zalau,mauaji,unyanyasaji....kila uchafu upo ndani ya serikali mfu
 
Nia ya Spika haikuwa kukataa ile hoja ya Mh. Hamad Rashid bali alikuwa hajapata taarifa za kutosha kuhusiana na ajali hiyo

Yaah! nikweli nakuunga mkono....ila ni vizuri tukatumia huu mwanya kumuondoa. Nafasi kama hizi haziji mara 2 mwanawane.
 
Kwani hawa wabunge wa Zanzibar ni wazamiaji ili wawahi kwenda kupiga mbizi na kuokoa watu au wanataka kwenda kuuza sura kwa wapiga kura wao?

Umeshatumiwa wao (wabunge na waliozama) sasa kinachokupa kiherhere kwa jambo lisilokuhusu nini? Kama kuuza sura au chochote maadam hukuombbwa kiwiliwili chako bora ufyate.
 
Acheni ujinga hapa kila siku tunasikia ajali za magari kuua makumi ya watu sijasikia bunge kuahirishwa kwenda kuhani msiba!

This is double standard!

Circus man hajui hata kuowanisha mambo. Kanumba na Chifupa walikuwa maelfu ya watu. Halafu unawezaje kufananisha ajali ya watu 280 kati ya watu wa Zanzibar 1,500,000 na idadi ya watu karibu 40,000,000. Waswahili husema maji yako kiombeni ni ziwa kwa chungu!
Sijui lakini kama unaweza kufahamu , naona akili yako si ya kawaida!
 
Alichoharibu ni hapo kwenye RED...subiri watakuja kumjibu hapa.....

CUF NA WAKOME, KWANZA WANAJULIKANA KAMA CCM B HALAFU WANAKUJA NA MDOMO, WAKOME NA WAKOME NA WAKOME, HAWAKUIJUA CCM LEO INAWAPATIA ILE KITU ROHO INAPENDa.
CUF UYO AMEOLEWA, CUF UYO AMEOLEWA MAALI IMETOLEWA NA CCM, CUF MKOME
 
Back
Top Bottom