Spencer Tunick! Ana maana gani huyu mwandishi mmarekani?

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,633
697,782
1468337947111.jpg
1468337953877.jpg
tunaweza kuchukulia ni usasa usanii kipaji uvumbuzi na hata haki za binadamu lakini kitu anachofanya huyu mmarekani kina kasoro kubwa kiimani na kiimadili, sijui akija Africa itakuwaje!
Anachofanya ni rahisi sana anazunguka nchi mbalimbali duniani na kwa ruhusa pengine ya Serikali husika na kwa ushawishi wa ajabu kabisa anakusanya maelfu kwa maelfu ya wananchi na kuwaamuru kuvua nguo zote na kupiga picha za halaiki katika maumbo mbalimbali na sehemu tofauti
1468338224398.jpg
1468338234024.jpg
Haya mambo anayafanya live mchana kweupe na naamini hatoi senti moja kwa washiriki wala hatoi zawadi, najaribu kujiuliza dunia imepatwa na nini? Hii ngozi nyeupe ni binadamu kamili kweli? Ni wakaazi wa dunia hii kweli? Au wana kwao kwenye mambo ya ajabu namna hii?
Najua kuna watakaotetea kuwa mbona enzi za ujima tulikuwa hatuvai nguo! Lakini ni enzi hizo na hiyo ni historia tujiangalie tulipo sasa
1468338469430.jpg
1468338477394.jpg
pata picha kama atakuja Tanzania na kupata kibali cha kufanya huu ujinga wake pale coco beach. .....

Dunia imechoka sana...!!!
 
Nyie mnaosambaza hizi habari ndo mnaofanya hao wajinga wawe maarufu.mi huyo spencer wala skuwa namjua ila sasa nishamjua na muda si mrefu ntaenda kumgoogle kujua zaidi taarifa zake.chamsingi watu wa sampuli hii ni wakuwadharau na kutowapa air time
 
View attachment 365636View attachment 365637tunaweza kuchukulia ni usasa usanii kipaji uvumbuzi na hata haki za binadamu lakini kitu anachofanya huyu mmarekani kina kasoro kubwa kiimani na kiimadili, sijui akija Africa itakuwaje!
Anachofanya ni rahisi sana anazunguka nchi mbalimbali duniani na kwa ruhusa pengine ya Serikali husika na kwa ushawishi wa ajabu kabisa anakusanya maelfu kwa maelfu ya wananchi na kuwaamuru kuvua nguo zote na kupiga picha za halaiki katika maumbo mbalimbali na sehemu tofauti View attachment 365638View attachment 365639Haya mambo anayafanya live mchana kweupe na naamini hatoi senti moja kwa washiriki wala hatoi zawadi, najaribu kujiuliza dunia imepatwa na nini? Hii ngozi nyeupe ni binadamu kamili kweli? Ni wakaazi wa dunia hii kweli? Au wana kwao kwenye mambo ya ajabu namna hii?
Najua kuna watakaotetea kuwa mbona enzi za ujima tulikuwa hatuvai nguo! Lakini ni enzi hizo na hiyo ni historia tujiangalie tulipo sasaView attachment 365640View attachment 365641pata picha kama atakuja Tanzania na kupata kibali cha kufanya huu ujinga wake pale coco beach. .....

Dunia imechoka sana...!!!
Acha promo bro,yaani wewe ndo umeamua kumtangaza..
 
Nyie mnaosambaza hizi habari ndo mnaofanya hao wajinga wawe maarufu.mi huyo spencer wala skuwa namjua ila sasa nishamjua na muda si mrefu ntaenda kumgoogle kujua zaidi taarifa zake.chamsingi watu wa sampuli hii ni wakuwadharau na kutowapa air time

Acha promo bro,yaani wewe ndo umeamua kumtangaza..
Hebu tuambiane uhuru wa kupashana habari unakuwaje? Naona kama tunataka kuleta mkanganyiko hapa...hizi habari za huyu jamaa mbona zipo tu tena kwa wingi na umaarufu wake mkubwa tuu ? Mimi nimtangaze ili iweje? Ameshatembelea nchi kibao na kuyafanya haya na habari zake kutangazwa kwa kina na Kuwekwa kwenye mitandao mikubwa ya kimataifa
Hivi ningeweka habari bila picha kitu ambacho ndio chanzo cha habari yenyewe ningetenda haki kweli? Tukosoe pale panapohitaji kukosolewa lakini si kwa namna hii
 
Back
Top Bottom