Kijifaida cha kiushkaji kitapatikanaKuna kijana wa miaka kadhaa mbele, ambaye wazazi wake walikutania hapo.
Inasikitisha na inaogofya kwa ulimwengu wa kiroho. Tukubalini tu tunaishi nyakati ambazo shetani anafanya kazi wazi wazi na anafanya kazi kwa kasi kuubwa sana, nyakati ambazo mawakala wa shetani wamemwagwa wengi wengi, nyakati ambazo mapepo yanawaingia watu na kuwasababishia kutenda kinyume na kawaida.View attachment 365636View attachment 365637tunaweza kuchukulia ni usasa usanii kipaji uvumbuzi na hata haki za binadamu lakini kitu anachofanya huyu mmarekani kina kasoro kubwa kiimani na kiimadili, sijui akija Africa itakuwaje!
Anachofanya ni rahisi sana anazunguka nchi mbalimbali duniani na kwa ruhusa pengine ya Serikali husika na kwa ushawishi wa ajabu kabisa anakusanya maelfu kwa maelfu ya wananchi na kuwaamuru kuvua nguo zote na kupiga picha za halaiki katika maumbo mbalimbali na sehemu tofauti View attachment 365638View attachment 365639Haya mambo anayafanya live mchana kweupe na naamini hatoi senti moja kwa washiriki wala hatoi zawadi, najaribu kujiuliza dunia imepatwa na nini? Hii ngozi nyeupe ni binadamu kamili kweli? Ni wakaazi wa dunia hii kweli? Au wana kwao kwenye mambo ya ajabu namna hii?
Najua kuna watakaotetea kuwa mbona enzi za ujima tulikuwa hatuvai nguo! Lakini ni enzi hizo na hiyo ni historia tujiangalie tulipo sasaView attachment 365640View attachment 365641pata picha kama atakuja Tanzania na kupata kibali cha kufanya huu ujinga wake pale coco beach. .....
Dunia imechoka sana...!!!
Utanishtua mkuuu mambo yangu hayoNitahudhuria aisee niende nikaangalie papuchi
Labda hujanielewa mkuu sijakunyooshea wewe kidole moja kwa moja .hoja yangu ni kwa jamii nzima ambayo na wewe umo ndani yake kuacha kupromote vitu visivyofaa.publicity ni silaha kubwa sana na sivyema kuikabidhi kwa watu wanaochangia kuiharibu jamii kama huyu bwana kina kim kardashian na wengineo.Unakuta mtu analalamika kabisa diamond kafanya hichi,sjui rihanna kafanya nini.tuache kuwafuatilia hawa wapuuzi.Kuna watu wengi tu wa maana ambao hawana hata spotlight hao ndo tuwape promoHebu tuambiane uhuru wa kupashana habari unakuwaje? Naona kama tunataka kuleta mkanganyiko hapa...hizi habari za huyu jamaa mbona zipo tu tena kwa wingi na umaarufu wake mkubwa tuu ? Mimi nimtangaze ili iweje? Ameshatembelea nchi kibao na kuyafanya haya na habari zake kutangazwa kwa kina na Kuwekwa kwenye mitandao mikubwa ya kimataifa
Hivi ningeweka habari bila picha kitu ambacho ndio chanzo cha habari yenyewe ningetenda haki kweli? Tukosoe pale panapohitaji kukosolewa lakini si kwa namna hii
watu kama nyie hamruhusiwi kwenye hizo communities. perverts.Nitahudhuria aisee niende nikaangalie papuchi
was it meant to be erotic??Public Nudity sio mchezo........Ila kwa pose kama hizo haijakaa erotic kihivyo...sasa sijui ishu ni skin colour..
nisome vizuri...kwa makini...usipoelewa,rudia tena..........................na tena....was it meant to be erotic??
ever heard of the terms,''Culture'',''Norm'' and ''Tradition''?....yani kuna sehemu duniani Mtu akiona upaja tu kaamsha.
bora huko wanaoona upaja, kwingine ndo hata kifundo cha mguu kinaamsha vitu
the human body is so sexualised.
excuse me people, we're more than sexual objects.
NDOMANA BARA HALINA WAGUNDUZI. watu wanawaza ngono tu wakiona wenzao.