kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 10,707
- 13,152
Uko sawa kabisa comred,ndio maana siku haipiti bila kuwaletea updates za front line hasa kuhusu Jinsi warusi wanavyochinjwa..,kwa mfano hii ni Jana tu, zaidi ya elf Moja na miamoja walilambishwa mchanga 🥱🥱🥱Punguzeni wenge,tunataka updates za Vita.Mambo yenu ya ushoga vs udini fungueni thread yenu.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app