We jamaa unafahamu tunachoongelea lakin?

Specifically tuliongelea battle ya bakhmut naona unaleta general data za tangu vita vianze. Tumia akili yako vizuri usinichoshe.
Battle ya bakhmut?

Pitia link hii ujisomee zaidi ukimaliza utafanya assessment nani wanakufa zaidi kati ya Russia na Ukraine


Kwa kuongezea juzi nilipost hii estimation ya idadi ya ukraine wanaokufa kila siku bakhmut,
Kwa siku zaidi ya 100, fanya estimation kwa mwezi itakua wangapiView attachment 2542375
JamiiForums-1264351895.jpeg
 
Huu ni ushenzi aliofanya Marekani duniani...lakini Kuna washenzi wanamshabikia na kumuona mtakatifu... Wakamatwe kwanza Hawa..au waendelee kunyooshwa na mwamba Putin
Thanks a lot for revealing a treasure trove ladden with photos and video clips showing undeniably western war crimes and other decipicable atrocities committed over the years by the same preachers of so called "human rights and virtual democracy!!!" Ulaghai mtupu.

Now you begin to wonder how can such people/leaders even have a nerve of telling the World that Putin should be brought to the Hague to face music under US prosecutors, would you believe it - Why? because Uncle SAM is the above the law therefore is unquestionably untouchable unlike them simpleton Russians and Putin in particular, forgetting that actually it was the Russian Red Army that broke the spine of mighty Hitler's Army - Russian Army knows how to end wars.
 
Mkuu umeleta tena takwimu hizi zinazodaiwa kuwa na asili katika huduma ya ujasusi wa Israel. Tumeshaona mara kadhaa.
Hadi leo haziaminiki. Sidhani majasusi wa Israel wanafanya makosa vile, na namba hizo si sahihi. Angalia tu idadi ya
vifaru vya Kirusi vilivyopotea: 889; Oryx wamekusanya picha za 1807 (katika namba kuna zaidi ya 500 zilizokamatwa na Ukraine);
ndegevita 23 - Oryx ina picha za 77,
artillery systems 427 - oryx ina picha za 758

Hizo ni zile tu zenye ushuda wa picha.
Unaweza kuangalia orodha na pia picha kwenye tovuti ya Oryx: Attack On Europe: Documenting Russian Equipment Losses During The 2022 Russian Invasion Of Ukraine
Yote ni hadharani.

Mzee unasema namba hizo sio sahihi kwa sababu hazijakupendeza, kwangu mimi naamini namba hizo ziko na uhalisia.

Kila mtu atakua na mtazamo wake kutokana na kile anachokiamini, wewe unaamini data za oryx wakati mimi siziamini.
 
Mr comedian zelensky ....anasherekea 15% za wanawake kuingia jeshini......


Badala ya kutafuta permanent peace solution ....

Kwa hili Inawezekana sisi waafrika tuna akili kuliko wa Ukraine
Mkuu Zelensky akili zake fyatu kabisa - hajali fate Waukraine wenzake anacho jali yeye ni fedha pamoja na kutajirisha US Military Industrial Complex pamoja na mwanae Biden anbaye aliwahi kufanya kazi Ukraine kama mshauri na ku-own kampuni ya mafuta kama sikosei - vita hii hajatokea kwa bahati mbaya kuna genge lawa tu wanapiga pesa big time akiwemo Biden Jr kwa niaba ya familia of course - ndio maana wanataka vita hii iendelee indefinitely!!
 
VIDEO

INASIKITISHA
Huyu nikijana Mdogo wa Miaka 17
Babayake Alilazimishwa Kuingia Vitani Na Akauliwa
Naye Ameambiwa Aende Vitani kwa Lazima.
Kijana Hataki kwenda Vitani Kupigana na Urusi Kasema Nibora Afe na kweli Ameenda Kujirekodi Live Akijinyoga
 
Back
Top Bottom