Sasa yeye kakosea Nini?Yeye amepewa contract na kampuni yake ni ya kijeshi!
Kwanini wasitoke donge Hilo nono Kwa mtu ambaye atafanikisha kupatikana Kwa Putin?Maana yeye ndiye aliyesign waraka kuruhusu Wagner na majeshi ya Russia kuingia Ukraine!
Halafu makao makuu ya Wagner yanajulikana,pia Putin alipo panajulikana!
Zawadi nono hutolewa Kwa watu ambao wanatafutwa na hawajulikani walipo!
Bonge moja la point

Progo anatuma video yupo bakhmut anatuma chupa za mvinyo kwa wamama wa ukraine. Kama wao FBI hawana uwezo wa kwenda kumkamata wanataka nani aende!? Nani mwenye uwezo kuwazidi wao!?
 
Kwa nini wasianze kuwakamata akina Bill Clinton kwa kuanzisha vita huko Yugoslavia, Bush Sr na Bush jr kwa kuhusika na vita ya Ghuba vilevile na kutumia mabom ya depleted Uranium yanayo sababisha cancer kwa vizazi na vizazi - akamatwe Nuland vile vile na seneta McCaine kama angekuwa alive kwa kuchochea mapinduzi na vita nchini Ukraine - madhambi ya hao hamuyasemi nyinyi masaa yote kuwakandia/nanga Putin na CEO wa Wagner Group mnajifanya kusahau atrocities na war crimes ambazo ziliwahi kufanywa na Western Nation na ushahidi hupo - eti mkamateni Putin.

Watu wengine bwana? Hivi mnamchukulia Putin kama kiongozi wa state ya 51 ya Merikani au, nani/taifa gani linaweza kuthubutu hata kujaribu kuifanya lolote Urusi,Putin au CEO wa Wagner Group, nani?? Kuna sababu maalumu kwa nini Urusi inajulikani kama Super power - hakuna taifa lolote Duniani linalo weza kuingia Urusi kivita -kumbuka kuna tofauti kubwa kati ya military operation na vita kamili - masuala ya SMO yanayo endelea huko Ukraine ni cha mtoto.
Huu ni ushenzi aliofanya Marekani duniani...lakini Kuna washenzi wanamshabikia na kumuona mtakatifu... Wakamatwe kwanza Hawa..au waendelee kunyooshwa na mwamba Putin
 

Attachments

  • Rule_Based_Order_%F0%9F%98%AD__Hivyo_ndivyo_Demokrasia_inavyofanya_kazi_duniani.___Mwenye_akil...mp4
    4.4 MB
Lengo la Wagner PMC ni ku grind jeshi la Ukraine.
Yaani kuwasaga saga, na hii ndio maana halisi ya demilitalization.

Kwa hiyo, ndio maana unaona wanawapiga taratibu.
Wanawakusana (encirclements) na kuwa grind (kuwasaga saga).
Yaani kila mara lazima wawa encircle.
Kama ndio hivyo hata wao (Wagner) wanapata hasara kubwa sana ya vifo.
 
Nimemueleza huyu dogo Nkuba25 anaesagwa ni Wagner na sio UA kama anavodai.

Hao wagner walikuja na tactic ya kuja vikundi vikundi wengi wanapigwa mpaka unachoka yani ni kama yale ma vietnam kwenye movie.
Kwa hiyo Ukraine wanawaua sana Wagner PMC. Lakini hapo hapo, Wagner PMC wanazidi kuchukua maeneo na Ukraine wanakimbia.

Yaani wewe ndiye unampiga adui, lakini wewe ndiye unakimbia.

Je, jambo ili linawezekana vipi mkuu.
 
Kuna muhuni humu ndani aliwahi kusema jeshi la russia ni legevu, ngoja tusubirie ukweli wa mtazamo wake.

Wanaume wanakuja.
Screenshot_20230308-194235_Telegram.jpg
 
Foreign oil and gas giants suffer losses after abandoning projects in Russia.

The withdrawal of foreign companies from Russia is causing the collapse of production, supply chains, and trade relations. However, the whole story is a double-edged sword. Western companies also have to say goodbye to some of their revenues.

British Petroleum lost the most when it lost its joint venture investment in Kharampurneftegaz, where it held half the shares. The British company also had one-fifth of each of the assets in Rosneft and Taas-Yuryakh Neftegazodobycha. So far, British Petroleum has not succeeded in getting government commission approval to sell its stake in Rosneft.

In second place is TotalEnergies, whose losses have only widened through 2022 after it pulled out of the Arctic LNG 2 project. However, the company refused to part with its main equity investment in Novatek. The French have renamed themselves Top Lubricants and are preparing to unfreeze oil production under the Lemarc brand.

Wintershall Dea has left our country, although it clung to its joint ventures with Gazprom—Severneftegazprom, Achimgaz, and Severniye Potoki—for a very long time. Half of the company's production came from Russia.

Shell's assets in Salym Petroleum went to Gazprom. The Russian company even ensured that Shell did not have the right to buy its shares back. As for Sakhalin-2, only Novatek can claim shares in the British company as required by the Russian government.

ExxonMobil is the only company whose losses have not increased over the past year. However, the Americans have yet to pay ₽15.5 billion in tax arrears on Sakhalin-1. The Russian government is still likely to make sure that the foreign firm withdraws from the project on as unfavorable terms as possible.

Norwegian Equinor has left the Russian market relatively quietly, transferring its stakes in JVs Angara Oil and SevKomNefteGas to its partners Rosneft and Zarubezhneft.
 
The rejection of Russian gas was a great stress for Germany.

Germany has only now recognized the severity of the consequences of the refusal of gas from Russia. Jörg Kukis, the German chancellor's assistant for economic affairs, said it was very difficult to replace it.

👔 And just a couple of days ago, Scholz was convincing himself that Germany had supposedly easily survived the withdrawal of gas from Russia.
 
Super power wa mchongo

The United States is experiencing a catastrophic shortage of artillery ammunition.

📝 "It may take up to 6 years to replenish the reserves of 155-millimeter artillery shells, subject to a momentary cessation of military assistance to Ukraine," writes the American Conservative.

▪️ The publication clarifies that the United States has already sent more than 30% of its stocks of Javelin complexes (8.5 thousand pieces) to Ukraine, despite the fact that only 400 units are produced per month.
 
Kwa hiyo Ukraine wanawaua sana Wagner PMC. Lakini hapo hapo, Wagner PMC wanazidi kuchukua maeneo na Ukraine wanakimbia.

Yaani wewe ndiye unampiga adui, lakini wewe ndiye unakimbia.

Je, jambo ili linawezekana vipi mkuu.
Inawezekana kuwa na many casuality na little gain ndiyo hii kama umeshawahi sikia. Yani wanakufa wengi zaidi halafu gain ni kidogo.

Ndomana unaona Wagner tangu week 2 zilizopita wanahangaika na Bakhmut.

Hao Ukraine wanakufa kidogo lakin wana retreat wapate position nzuri ya ku attack siku za mbele. Hivyo inawezekana acha kuwa na fikra finyu.
 
Inawezekana kuwa na many casuality na little gain ndiyo hii kama umeshawahi sikia. Yani wanakufa wengi zaidi halafu gain ni kidogo.

Ndomana unaona Wagner tangu week 2 zilizopita wanahangaika na Bakhmut.

Hao Ukraine wanakufa kidogo lakin wana retreat wapate position nzuri ya ku attack siku za mbele. Hivyo inawezekana acha kuwa na fikra finyu.
Unaongeleaje hizo losses
 

Attachments

  • 20230308_204606.png
    20230308_204606.png
    40.7 KB · Views: 5
  • 20230308_204622.png
    20230308_204622.png
    31 KB · Views: 6
  • 20230308_204640.png
    20230308_204640.png
    19.3 KB · Views: 6
EXPLAINED: Could a ‘Pro-Ukrainian Group’ Have Blown Up the Nord Stream Gas Pipelines?

The ongoing mystery of who carried out the attack has taken another turn after unidentified US officials were reported to have said it could have been carried out ‘off the books by a proxy force’.

Read more on our website.
Kweli urusi inaogopeka kila kukicha watu wanajitetea balaa halaf mzee mzima kauchuna tu!!!!!
 
Back
Top Bottom