jameshyela
JF-Expert Member
- Oct 13, 2022
- 1,968
- 15,374
Katikati ya bakhumut
Kwa nini wasianze kuwakamata akina Bill Clinton kwa kuanzisha vita huko Yugoslavia, Bush Sr na Bush jr kwa kuhusika na vita ya Ghuba vilevile na kutumia mabom ya depleted Uranium yanayo sababisha cancer kwa vizazi na vizazi - akamatwe Nuland vile vile na seneta McCaine kama angekuwa alive kwa kuchochea mapinduzi na vita nchini Ukraine - madhambi ya hao hamuyasemi nyinyi masaa yote kuwakandia/nanga Putin na CEO wa Wagner Group mnajifanya kusahau atrocities na war crimes ambazo ziliwahi kufanywa na Western Nation na ushahidi hupo - eti mkamateni Putin.Sasa yeye kakosea Nini?Yeye amepewa contract na kampuni yake ni ya kijeshi!
Kwanini wasitoke donge Hilo nono Kwa mtu ambaye atafanikisha kupatikana Kwa Putin?Maana yeye ndiye aliyesign waraka kuruhusu Wagner na majeshi ya Russia kuingia Ukraine!
Halafu makao makuu ya Wagner yanajulikana,pia Putin alipo panajulikana!
Zawadi nono hutolewa Kwa watu ambao wanatafutwa na hawajulikani walipo!
Huyo jamaa wa kwanza mbona kama goliathKatikati ya bakhumut View attachment 2541875
Yaani NATO wanaonekana Kama kuku mbele ya hao jamaa.Huyo jamaa wa kwanza mbona kama goliath
Wanatutafutia nongwa na DubuKwani Hilo donge nono wao hawalitaki!! Si wakamkamate kama Osama walipwe wao?? Shida nini!!
Mean whileBreaking news...
Mlikokuwa mnajifariji kuwa prigo anatumia spedi au nyundo kupigana
Russia’s Wagner Group of mercenaries has taken full control of the eastern part of Bakhmut, its founder Yevgeny Prigozhin said.
Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy said the Russian army would have an “open road” into eastern Ukraine if it captures the besieged city of Bakhmut, US media reported on Tuesday.
Via Al Jazeera
Aende mpka hapa ndipo tuamini kwamba kweli amefika bakhumutMean while
️Commander of the Ukrainian Ground Forces Oleksandr Syrskyi again visited Bakhmut, Donetsk Region, where he awarded the defenders of the country.
Ni ubwabwa maharage zinapigwa au zinakwama kwenye tope wenyewe wakimbia yaani mtafyata sana️Ukraine will receive 18 German and three Portuguese Leopard 2 tanks along with trained crews by the end of March, German Defence Minister Boris Pistorius said, Welt reported.
Kunywa maji mengi, maumivu yatapungua,Ni ubwabwa maharage zinapigwa au zinakwama kwenye tope wenyewe wakimbia yaani mtafyata sana
Hao si walisema wameishiwa silaha?Kunywa maji mengi, maumivu yatapungua,
Huko ndipo kilipo kichinjio kwa askari wa urusiHao si walisema wameishiwa silaha?View attachment 2541906