triga
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 1,029
- 5,708
Bonge moja la pointSasa yeye kakosea Nini?Yeye amepewa contract na kampuni yake ni ya kijeshi!
Kwanini wasitoke donge Hilo nono Kwa mtu ambaye atafanikisha kupatikana Kwa Putin?Maana yeye ndiye aliyesign waraka kuruhusu Wagner na majeshi ya Russia kuingia Ukraine!
Halafu makao makuu ya Wagner yanajulikana,pia Putin alipo panajulikana!
Zawadi nono hutolewa Kwa watu ambao wanatafutwa na hawajulikani walipo!
Progo anatuma video yupo bakhmut anatuma chupa za mvinyo kwa wamama wa ukraine. Kama wao FBI hawana uwezo wa kwenda kumkamata wanataka nani aende!? Nani mwenye uwezo kuwazidi wao!?