Ndivyo tuliaminishwa siku zote kuwa Urusi ya pili, Urusi supapawa, Urusi ndiye komesha la Marekani na mauwongo mengine yote, ila ameumbuka kwa ujinga wake, kapigwa za uso ple Kyev, limsafara likafyekwa, sasa amekwenda kuparamia tumiji twa huko mbali, yaani hata China anachekelea pembeni maana yaani.
Bora umechagua ule wimbo wa
Raha jipe mwenyewe
Maana ungeteseka sana ulitegemea USA angeweza kusaidia pamoja na silaha nyingi zinaishia kuteketezwa.
Jipe raha usije kupata SONONA

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Mbona walishashinda kitambooo.. ile kwamba imemchukua Urusi zaidi ya siku 100 na Zelensky bado ndiye rais wa Ukraine, huo ni ushindi mkubwa sana, licha ya hasara yote aliyopata Urusi na anayoendelea kupata, supapawa la hovyo sana, sijui kwanini waarabu na waajemi walikua wanalitegemea.
Ni dhahiri sasa hivi dunia tumeanikwa vibaya sana, Marekani ameachwa bila mbabe.
Bila Drone za Uturuki kumbe juveline za USA ni mizigo ni sawa na kubeba bomba za kuzibulia mitaro. Ndio maana Uturuki inatunisha msuli nani ajiunge . Uturuki inaupiga USA mapemaaaa

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Sikujua umuhimu mpaka pale ilimshinda Mrusi ndio nikaja kuipa heshima sana.
Hongera kwa Ukraine kushinda Kyeiv japo wamegundua mass grave Russia walipoondoka.
Hongera kwa ushindi pamoja na kesi KUBAKWA WAKE ZENU na Russia na sasa mnaadaa kesi.
Russia Noma wamewatoa marinda wanaume kwa wanawake wa Ukraine

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
ITAMBUE URUSI KUHUSU WAYAHUDI

Leo nimeona nijaribu kueleza kidogo kuhusu uhusiano wa Urusi na Wayahudi. Maana wapo wakenya wengi humu wanataka kupotosha jamii. Huenda kwa makusudi au kwa kutokujua.

Kwa kipindi kirefu sana tangu utawala wa Roman Empire wayahudi walisambaa sehemu mbalimbali. Walikimbia kutoka kwenye nchi wanayoishi na kwenda sehemu mbalibali duniani.

Asilimia kubwa ya wayahudi walienda Russia Empire, German na Sehemu zingine za central Europe.

Tangu kipindi cha Peter The great wa Russia Empire wayahudi waliweza kupokelewa kwa mikono miwili huko Russia. Walipewa eneo liitwalo PALE OF SETTLEMENT. Unaweza kwenda kusoma kwa kujua zaidi.

Pale of settlement ilikuwa inajumuisha New Russia (Novorossiya). Hilo eneo ndio mapambano yanokoendelea sasa.

Baada ya vita vya kwanza vya dunia Urusi ndio nchi ya kwanza kutengeneza State of Israel ndani ya Urusi. Na eneo hilo mpaka sasa lipo na linakaliwa na Wayahudi.

Wapo watu wanadhani kwamba Urusi ni nchi ya kiislam. Na mshangaa sana mtu huyo. Majority ya warusi ni wakristo wa Orthodox. Huenda watu hawa kutoka kenya hawasomi historia ya dunia. Zaidi sana wana endekeza ukabila.
Ila mwamba wayahudi waliopo Urusi wako kule mashariki ya mbali kwenye jimbo la Jewish Autonomous Oblast maarufu kama JAO.

Na wayahudi wa sasa mwamba sio wayahudi wa enzi hizo. Hawa wanaojiita wayahudi wa sasa ni taka taka.

Kaangalie jimbo linalotumia bendera ya Rainbow huko Russia ni hawa Jewish Oblast. Madudu wanayoyafanya huko Israel huwezi zania kama ni wayahudi kweli wale tunaowasoma kwenye vitabu kama taifa teule.

Kingine mwamba... katika nchi inayoongoza kwa kua na wayahudi wengi duniani baada ya Israel ni Marekani, kisha Ujeruman

Hapo Russia hata 200k hawafiki
 
📝 The economy of imaginary entities is being replaced by the economy of real assets, Putin said.

@LLSeniors
I like this statement, ndivyo inavyotakiwa kuwa kiubinadamu....... mjapani na mjerumani na mchina india mmarekani na congo na zambia wote watajirike kutokana na kazi na bidhaa walizoipatia dunia.

Ishu ya kuprint, tena sio kuprint ilikuwa ni kama kupost au kuupdate status ya hela tu ni kuwafanya wengine wote watumwa wako.
 
Kauli imekaa ka ya ukombozi... em fikiria nchi ina rasilimali halafu masikini. Wadau wamekaa kando na Printer zao wanakuja kukupa hizo karatasi af wanachukua mali wanasepa nazo!

US kajiwekea kibindoni karibu Tani 8k za dhahabu. Ila ela za malipo mnapewa printer ikipiga kelele za prrrrrrrrr dah.
I like this statement, ndivyo inavyotakiwa kuwa kiubinadamu....... mjapani na mjerumani na mchina india mmarekani na congo na zambia wote watajirike kutokana na kazi na bidhaa walizoipatia dunia.

Ishu ya kuprint, tena sio kuprint ilikuwa ni kama kupost au kuupdate status ya hela tu ni kuwafanya wengine wote watumwa wako.
 
Back
Top Bottom