Google Diggers
JF-Expert Member
- Aug 29, 2015
- 940
- 1,123
Umenena ukweli. Kwa wasioijua history, USA na Ulaya mwisho nao ni maadui tu. Weka ujerumani pembeni, Italy wao wote ni maadui, Russia upande mwingine kabisaaaa. Cold war ileee ya 60s haijaishaga kirahis.Kuomba poo hawa wanaenda kumtuliza Zele . Watampa ukweli mchungu aachane na Biden
Uingereza na french wanarukanruka tu