GE2025 Special Thread: Wasifu wa Wagombea Urais Uchaguzi Mkuu 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
4,783
Reaction score
14,975
1. ACT WAZLENDO
LUHAGA MPINA
mpina2.jpg
  • Jina Kamili: Luhaga Joelson Mpina
  • Chama: ACT Wazalendo
  • Tarehe ya Kuzaliwa: 5 Mei 1975 (Tanzania)
  • Elimu: Shahada ya Uhasibu (B.Acc) – Mzumbe University; MSc – University of Strathclyde
Historia ya Siasa:
  • Mbunge wa Kisesa tangu Desemba 2005-2025 (CCM)
  • Waziri wa Mifugo na Uvuvi (Oktoba 2017 – Juni 2020) chini ya Rais Magufuli
  • Alitoka CCM na kujiunga na ACT Wazalendo; ameidhinishwa kama mgombea urais wa Taifa kwa uchaguzi ujao.
  • 2025 - Mgombea mwenza (running mate) wake ni Fatma Abdulhabib Ferej

2. CHAMA CHA MAPINDUZI
SAMIA SULUHU
SAMIA1.jpg
  • Jina Kamili: Samia Suluhu Hassan
  • Chama: Chama Cha Mapinduzi (CCM)
  • Tarehe ya Kuzaliwa: 27 Januari 1960
  • Mahali alipozaliwa: Makunduchi, Unguja – Zanzibar, Tanzania
Elimu:
  • Cheti cha Sekondari – Lumumba Secondary School (Ordinary Level)
  • Cheti cha Utawala wa Umma – Institute of Development Management (Present days Mzumbe University)
  • Stashahada ya Usimamizi wa Rasilimali Watu – Institute of Management for Development, Lahore, Pakistan
  • Shahada ya Maendeleo ya Kiuchumi – University of Manchester, Uingereza
  • Mafunzo ya uongozi – Harvard Kennedy School, Marekani
Madaraka ya Sasa: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Machi 19, 2021 – sasa)

Historia ya Siasa:
  • 2000–2010: Waziri katika Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (Wizara ya Utalii, Biashara na Uwekezaji; na baadaye Wizara ya Kazi, Maendeleo ya Wanawake na Watoto)
  • 2010–2015: Mbunge wa Makunduchi na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais – Muungano na Mazingira
  • 2015–2021: Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (mwanamke wa kwanza kushika nafasi hiyo)
  • 2021– mpaka sasa: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (mwanamke wa kwanza kutoka Zanzibar kushika wadhifa huo)
  • Mgombea mwenza (2025): Dkt. Emmanuel Nchimbi
3. CHAUMMA
SALUM MWALIMU
mwalimu.jpeg
  • Jina Kamili: Salum Mwalimu
  • Chama: Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA)
  • Tarehe ya Kuzaliwa: 1979
  • Mahali alipozaliwa: Zanzibar, Tanzania
Elimu:
  • Elimu ya Sekondari – Zanzibar
  • Mafunzo ya uongozi na siasa kupitia vyuo na taasisi mbalimbali ndani na nje ya nchi (taarifa kamili hazijatolewa rasmi na chama)
Historia ya Siasa:
  • 2014–2022: Katibu Mkuu wa CHADEMA – Zanzibar
  • 2015: Mgombea mwenza wa urais wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) akiwa na Edward Lowassa
  • 2022–2025: Mwanachama na kiongozi wa CHADEMA
  • Mei 2025: Kuhama CHADEMA na kujiunga na CHAUMMA pamoja na kundi la viongozi (G55)
  • Agosti 2025: Kuteuliwa rasmi kuwa mgombea urais wa CHAUMMA
  • Mgombea mwenza (Running Mate – 2025): Devotha Minja

CHAMA CHA KIJAMII (CCK)
DAVID MWAIJOLELE
mwaijo2.jpeg
  • Jina Kamili: David Mwaijolele
  • Chama: Chama Cha Kijamii (CCK)
  • Tarehe ya Kuzaliwa: Haijulikani wazi (hakuna taarifa rasmi iliyotolewa)
  • Mahali alipozaliwa: Tanzania
Elimu:
  • Elimu ya Sekondari – Tanzania
  • Mafunzo ya uongozi wa kisiasa na jamii kupitia programu za ndani ya nchi (maelezo ya kina hayajatolewa na chama)
Madaraka ya Sasa: Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCK (Uchaguzi Mkuu 2025)

Historia ya Siasa:
  • Mwanachama wa muda mrefu wa CCK, akihusiana na harakati za maendeleo ya kijamii
  • Kuteuliwa kama mgombea wa urais na chama chake kwa Uchaguzi Mkuu 2025
  • Mgombea mwenza (Running Mate – 2025): (Taarifa haijatangazwa hadharani)
DEMOKRASIA MAKINI
COASTER JIMMY KIBONDE
kibonde1.jpg
  • Jina Kamili: Coaster Jimmy Kibonde
  • Chama: Chama cha Demokrasia Makini (MAKINI)
  • Tarehe ya Kuzaliwa: Haijulikani wazi (hakuna taarifa rasmi iliyotolewa)
  • Mahali alipozaliwa: Tanzania
Elimu:
  • Elimu ya Sekondari – Tanzania
  • Mafunzo ya biashara na uongozi kupitia miradi ya kijamii (maelezo kamili hayajatolewa)
Madaraka ya Sasa: Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Demokrasia Makini (Uchaguzi Mkuu 2025)

Historia ya Siasa:
  • Mwanachama na kiongozi wa Demokrasia Makini kwa miaka kadhaa
  • Agosti 2025: Kuteuliwa rasmi kuwa mgombea wa urais wa chama chake
  • Amejipambanua kama kiongozi kijana mwenye maono mapya
  • Mgombea mwenza (Running Mate – 2025): Azza Haji Suleiman
 
ACT WAZLENDO
  • Luhaga Mpina
  • Jina Kamili: Luhaga Joelson Mpina
  • Chama: ACT Wazalendo
  • Tarehe ya Kuzaliwa: 5 Mei 1975 (Tanzania)
  • Elimu: Shahada ya Uhasibu (B.Acc) – Mzumbe University; MSc – University of Strathclyde
  • Historia ya Siasa:
  • Mbunge wa Kisesa tangu Desemba 2005-2025 (CCM)
  • Waziri wa Mifugo na Uvuvi (Oktoba 2017 – Juni 2020) chini ya Rais Magufuli
  • Alitoka CCM na kujiunga na ACT Wazalendo; ameidhinishwa kama mgombea urais wa Taifa kwa uchaguzi ujao.
  • Mgombea mwenza (running mate) wake ni Fatma Abdulhabib Ferej
CHAMA CHA MAPINDUZI

CHAUMMA
  • Salum Mwalimu
  • Jina Kamili: Salum Mwalimu
  • Chama: Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA)
  • Tarehe ya Kuzaliwa: 1979
  • Mahali alipozaliwa: Zanzibar, Tanzania
Elimu:
  • Elimu ya Sekondari – Zanzibar
  • Mafunzo ya uongozi na siasa kupitia vyuo na taasisi mbalimbali ndani na nje ya nchi (taarifa kamili hazijatolewa rasmi na chama)
Madaraka ya Sasa: Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHAUMMA (Uchaguzi Mkuu 2025)

Historia ya Siasa:
  • 2014–2022: Katibu Mkuu wa CHADEMA – Zanzibar
  • 2015: Mgombea mwenza wa urais wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) akiwa na Edward Lowassa
  • 2022–2025: Mwanachama na kiongozi wa CHADEMA
  • Mei 2025: Kuhama CHADEMA na kujiunga na CHAUMMA pamoja na kundi la viongozi (G55)
  • Agosti 2025: Kuteuliwa rasmi kuwa mgombea urais wa CHAUMMA
  • Mgombea mwenza (Running Mate – 2025): Devotha Minja
CHAMA CHA KIJAMII (CCK)
  • David Mwaijolele

  • Coaster Jimmy Kibonde

Unamuwekaje Rais namba 2? Hauko serious.

SSH ndio ana CV nzito sana tena umeacha stahii zake nyingi sana kuanzia ndani ya CC ya Chama Hadi Tuzo alizotunukiwa ndani na Nje ya Nchi Kwa kazi zilizotukuka.
 
Samia hawezi kushinda labda kwa maguvu, amefanya uovu mwingi kwa Watanganyika, amewagawa kwa lengo la kuwatawala kirahisi.

Amewatesa kwa kuwapiga na kuwavunja miguu achilia mbali kuwabambikizia kesi, lkn amekuwa akiwateka, kuwapoteza na kuwauwa.

Tangu Tanganyika ipate uhuru 1961 Marais wote waliongoza hawakuwahi kuwafanyia uovu raia wa Tanganyika kama anavyowafanyia Samia, sababu si ndugu zake.

Samia ni sawa sawa na Rais wa kuazimwa au wa kukodiwa kuongoza nchi ya watu, ndio sababu anafanya nje ya utu na ubinadamu.

Anaendesha siasa za mtawala mgeni kwamba, wagawe uwatawale na Watanganyika wenyewe wamelala usingizi wa pono, hawajielewe, hawajitambui amali yao kusifu tu mama mama.

Kupitia uchaguzi huu ndio ilikuwa fursa pekee na nzuri ya kumfungisha virago na kutafuta Mtanganyika mzawa kuongoza wezake kwa mapenzi na huruma.

Mtanganyika ni mtu wa ajabu anamsifia Samia anayepoteza kwa kuwateka wanamchukia Tundu Lissu, ndugu yao anayeozea jela.

Mtu sahihi kwa sasa wa kuweza kuwakomboa na mateso na dhulma nyingine ikiwemo rasmali za nchi ni MPINA.

Watanganyika watafanyakosa kubwa sana kumrejesha Samia madarakani, watajuta milele.

Watanganyika, wanapaswa kupitia uchaguzi huu kujitafakari upya kuhusu Samia na uongozi wake wa miaka minne aliorithi kutoka kwa JPM.

Samia, akirudi kwa miaka mitano mingine watanganyika wafahamu kuwa ndugu kwa ndugu na familia kwa familia zitagombana hadi kuuawana.

Watanganyika tahadharini kabla laasari, Mdude, hayupo, Ali Kibao hayupo na wengi wengine - bado hamjajifunza tu, kwani mfuomo wa akili za Watanganyika ukoje au wana mapepo au wamerogwa?

Tanganyika ina watu zaidi ya 65milioni inakodi Rais wa kuwaendeshea nchi yao kutoka Kizimkazi Unguja, Allah Akbaruu hizo ni akili za uzezeta..
 
Unamuwekaje Rais namba 2? Hauko serious.

SSH ndio ana CV nzito sana tena umeacha stahii zake nyingi sana kuanzia ndani ya CC ya Chama Hadi Tuzo alizotunukiwa ndani na Nje ya Nchi Kwa kazi zilizotukuka.
Aisee we naye ni andazi sasa si amefuata herufi za jina la chama husika? 🤣🤣🤣
 
ACT WAZLENDO
  • Luhaga Mpina
  • Jina Kamili: Luhaga Joelson Mpina
  • Chama: ACT Wazalendo
  • Tarehe ya Kuzaliwa: 5 Mei 1975 (Tanzania)
  • Elimu: Shahada ya Uhasibu (B.Acc) – Mzumbe University; MSc – University of Strathclyde
  • Historia ya Siasa:
  • Mbunge wa Kisesa tangu Desemba 2005-2025 (CCM)
  • Waziri wa Mifugo na Uvuvi (Oktoba 2017 – Juni 2020) chini ya Rais Magufuli
  • Alitoka CCM na kujiunga na ACT Wazalendo; ameidhinishwa kama mgombea urais wa Taifa kwa uchaguzi ujao.
  • Mgombea mwenza (running mate) wake ni Fatma Abdulhabib Ferej
CHAMA CHA MAPINDUZI
  • Jina Kamili: Samia Suluhu Hassan
  • Chama: Chama Cha Mapinduzi (CCM)
  • Tarehe ya Kuzaliwa: 27 Januari 1960
  • Mahali alipozaliwa: Makunduchi, Unguja – Zanzibar, Tanzania
Elimu:
  • Cheti cha Sekondari – Lumumba Secondary School (Ordinary Level)
  • Cheti cha Utawala wa Umma – Institute of Development Management (Present days Mzumbe University)
  • Stashahada ya Usimamizi wa Rasilimali Watu – Institute of Management for Development, Lahore, Pakistan
  • Shahada ya Maendeleo ya Kiuchumi – University of Manchester, Uingereza
  • Mafunzo ya uongozi – Harvard Kennedy School, Marekani
Madaraka ya Sasa: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Machi 19, 2021 – sasa)

Historia ya Siasa:

  • 2000–2010: Waziri katika Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (Wizara ya Utalii, Biashara na Uwekezaji; na baadaye Wizara ya Kazi, Maendeleo ya Wanawake na Watoto)
  • 2010–2015: Mbunge wa Makunduchi na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais – Muungano na Mazingira
  • 2015–2021: Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (mwanamke wa kwanza kushika nafasi hiyo)
  • 2021– mpaka sasa: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (mwanamke wa kwanza kutoka Zanzibar kushika wadhifa huo)
  • Mgombea mwenza (2025): Dkt. Emmanuel Nchimbi
CHAUMMA
  • Salum Mwalimu
  • Jina Kamili: Salum Mwalimu
  • Chama: Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA)
  • Tarehe ya Kuzaliwa: 1979
  • Mahali alipozaliwa: Zanzibar, Tanzania
Elimu:
  • Elimu ya Sekondari – Zanzibar
  • Mafunzo ya uongozi na siasa kupitia vyuo na taasisi mbalimbali ndani na nje ya nchi (taarifa kamili hazijatolewa rasmi na chama)
Madaraka ya Sasa: Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHAUMMA (Uchaguzi Mkuu 2025)

Historia ya Siasa:
  • 2014–2022: Katibu Mkuu wa CHADEMA – Zanzibar
  • 2015: Mgombea mwenza wa urais wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) akiwa na Edward Lowassa
  • 2022–2025: Mwanachama na kiongozi wa CHADEMA
  • Mei 2025: Kuhama CHADEMA na kujiunga na CHAUMMA pamoja na kundi la viongozi (G55)
  • Agosti 2025: Kuteuliwa rasmi kuwa mgombea urais wa CHAUMMA
  • Mgombea mwenza (Running Mate – 2025): Devotha Minja
CHAMA CHA KIJAMII (CCK)
  • David Mwaijolele
  • Jina Kamili: David Mwaijolele
  • Chama: Chama Cha Kijamii (CCK)
  • Tarehe ya Kuzaliwa: Haijulikani wazi (hakuna taarifa rasmi iliyotolewa)
  • Mahali alipozaliwa: Tanzania
Elimu:
  • Elimu ya Sekondari – Tanzania
  • Mafunzo ya uongozi wa kisiasa na jamii kupitia programu za ndani ya nchi (maelezo ya kina hayajatolewa na chama)
Madaraka ya Sasa: Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCK (Uchaguzi Mkuu 2025)

Historia ya Siasa:
  • Mwanachama wa muda mrefu wa CCK, akihusiana na harakati za maendeleo ya kijamii
  • Kuteuliwa kama mgombea wa urais na chama chake kwa Uchaguzi Mkuu 2025
  • Mgombea mwenza (Running Mate – 2025): (Taarifa haijatangazwa hadharani)
DEMOKRASIA MAKINI
  • Coaster Jimmy Kibonde
  • Jina Kamili: Coaster Jimmy Kibonde
  • Chama: Chama cha Demokrasia Makini (MAKINI)
  • Tarehe ya Kuzaliwa: Haijulikani wazi (hakuna taarifa rasmi iliyotolewa)
  • Mahali alipozaliwa: Tanzania
Elimu:

  • Elimu ya Sekondari – Tanzania
  • Mafunzo ya biashara na uongozi kupitia miradi ya kijamii (maelezo kamili hayajatolewa)
Madaraka ya Sasa: Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Demokrasia Makini (Uchaguzi Mkuu 2025)

Historia ya Siasa:

  • Mwanachama na kiongozi wa Demokrasia Makini kwa miaka kadhaa
  • Agosti 2025: Kuteuliwa rasmi kuwa mgombea wa urais wa chama chake
  • Amejipambanua kama kiongozi kijana mwenye maono mapya
  • Mgombea mwenza (Running Mate – 2025): Azza Haji Suleiman
Mimi nipo kwa mpina wizi wakutuibia wavuvi ziwa tanganyika mbona sijaona shahada yake? Kwahiyo tuchukulie wizi wakoupondani yadamu yako? Ukipata urais nafikiri utatuibia nyavu ,engene,na roho zetu ulipotuacha vilema najuwa haujatosheka
 
Samia hawezi kushinda labda kwa maguvu, amefanya uovu mwingi kwa Watanganyika, amewagawa kwa lengo la kuwatawala kitahisi.

Amewatesa kwa kwa kuwapiga na kuwavunja miguu achili mbali kuwabambikizia kesi, lkn amekuwa akiwateka hadi kwa kuwapiteza na kuwauwa.

Tangu Tanganyika ipate uhuru 1961 Marais wote waliongoza hawakuwahi kuwafanyia uovu raia wa Tanganyika kama anavyowafanyia Samia, sababu si ndugu zake.

Samia ni sawa sawa na Rais wa kuazimwa au wa kukodiwa kuongoza nchi ya watu, ndio sababu anafanya nje ya utu na ubinadamu.

Anaendesha siasa za mtawala mgeni kwamba, wagawe uwatawale na Watanganyika wenyewe wamelala usingizi wa pono, hawajielewe, hawajitambui amali yao kusifu tu mama mama.

Kupitia uchaguzi huu ndio ilikuwa fursa pekee na nzuri ya kumfungisha virago na kutafuta Mtanganyika mzawa kuongoza wezake kwa mapenzi na huruma.

Mtanganyika ni mtu wa ajabu anamsifia Samia anayepoteza kwa kuwateka wanamchukia Tundu Lissu, ndugu yao anayeozea jela.

Mtu sahihi kwa sasa wa kuweza kuwakomboa na mateso na dhulma nyingine ikiwemo rasmali za nchi ni MPINA.

Watanganyika watafanyakosa kubwa sana kumrejesha Samia madarakani, watajuta milele.

Watanganyika, wanapaswa kupitia uchaguzi huu kujitafakari upya kuhusu Samia na uongozi wake wa miaka minne aliorithi kutoka kwa JPM.

Samia, akirudi kwa miaka mitano mingine watanganyika wafahamu kuwa ndugu kwa ndugu na familia kwa familia zitagombana hadi kuuawana.

Watanganyika tahadharini kabla laasari, Mdude, hayupo, Ali Kibao hayupo na wengi wengine - bado hamjajifunza tu, kwani mfuomo wa akili za Watanganyika ukoje au mna mapepo, mmerogwa?
Mhhh hata chadema wenzako wanaona huu ni uongo
Ila kwa kua ni mnampinga bhc watakubali
.mkapa kwenye kitabu chake kakir kufanya makosa hasa kwa watu wa zenji.
Magu sizan kma naitaji kuandika aliyofanya
Kwa samia unamuonea bure na chuki zako za kipumbavuuu
 
Unamuwekaje Rais namba 2? Hauko serious.

SSH ndio ana CV nzito sana tena umeacha stahii zake nyingi sana kuanzia ndani ya CC ya Chama Hadi Tuzo alizotunukiwa ndani na Nje ya Nchi Kwa kazi zilizotukuka.
Elimu ya salum mwalim mbona kama ya hapa na pale,arudi tu kwenye utangazaji

Ova
 
Unamuwekaje Rais namba 2? Hauko serious.

SSH ndio ana CV nzito sana tena umeacha stahii zake nyingi sana kuanzia ndani ya CC ya Chama Hadi Tuzo alizotunukiwa ndani na Nje ya Nchi Kwa kazi zilizotukuka.
Elimu ya mpina ni ya ukwel ukwel
😄 ila hao wengine

Ova
 
Sasa samia anaelimu gani ? Viongozi wenye upeo mdogo wa kufikiria duniani 🤣🤣
Ndio kiongozi wako
Ni upungufu wa akil mlio nao na chuki za kisiasa hazina tija mkuu
Kwann msiwe wananchi wa kawaida
 
Back
Top Bottom