Napita nitarud baadaeView attachment 622903
wataalam wa lugha za picha kazi kwenu
Hata bendera ya Chadema imetandazwa kinyume na ccm imesinyaaTasfiri yangu ni hii...
1/Daraja la kisiasa limejengwa kuruhusu wanasiasa kuhama kutoka chama kimoja kwenda kingine baina ya CCM na CHADEMA.
2/Mwelekeo wa hilo daraja unaonyesha kuna wepesi(Mteremko) zaidi kutoka CCM kwenda CHADEMA.
3/Mwelekeo wa daraja unaonyesha Uko imara zaidi kwenye kingo za upande wa CHADEMA kuliko upande wa CCM(Ukijenga picha kubwa kuwa ni salama zaidi kisiasa kuhamia CHADEMA ukitokea CCM kuliko kutoka CHADEMA kwenda CCM.
4/Mlingoti wa bendera wa CCM unaonekana umelegea, kuchoka na kuinama kiasi cha kutaka kuanguka, wakati wa CHADEMA uko imara zaidi. (Hii inatoa tafsiri kuwa, CHADEMA ina uungwaji mkono zaidi kijamii kuliko CCM au Kisiasa CHADEMA ndani wako imara zaidi kuliko CCM).
far fetched ideaUkiangalia kwa umakini upande wa chadema hauna surface ya kutosha, means wanaokuja huko wanabanana sana na pia nafasi ndogo inareflect ufinyu wa kufikiri. Daraja ni kivuko cha wanaotoka kwenye upeo mkubwa kwenda kwa wenye upeo na fikra ndogo.
Mzee ngazi ni tofauti na daraja hilo ni daraja na si ngazitafsiri yangu,
chadema ipo chini na ccm juu, kwa hivyo ili chadema iweze kuifikia ccm kimafanikio, inatakiwa kuwa/kufanya kazi ya ziada (thats why kuna ngazi)
Afu hii Bendera ya CCM mbona ni kama sura ya mtu afu ana likidevu lirefu?Tasfiri yangu ni hii...
1/Daraja la kisiasa limejengwa kuruhusu wanasiasa kuhama kutoka chama kimoja kwenda kingine baina ya CCM na CHADEMA.
2/Mwelekeo wa hilo daraja unaonyesha kuna wepesi(Mteremko) zaidi kutoka CCM kwenda CHADEMA.
3/Mwelekeo wa daraja unaonyesha Uko imara zaidi kwenye kingo za upande wa CHADEMA kuliko upande wa CCM(Ukijenga picha kubwa kuwa ni salama zaidi kisiasa kuhamia CHADEMA ukitokea CCM kuliko kutoka CHADEMA kwenda CCM.
4/Mlingoti wa bendera wa CCM unaonekana umelegea, kuchoka na kuinama kiasi cha kutaka kuanguka, wakati wa CHADEMA uko imara zaidi. (Hii inatoa tafsiri kuwa, CHADEMA ina uungwaji mkono zaidi kijamii kuliko CCM au Kisiasa CHADEMA ndani wako imara zaidi kuliko CCM).
Dawa ya kuzuia " tumbua"!!!Nimesoma hichi kibonzo cha Masoud Kipanya, Kimenifurahisha sana
Ndo inayotafutwa, AaahDawa ya kuzuia " tumbua"!!!