Martin Samson
Senior Member
- Jan 1, 2017
- 117
- 61
Hahahahahahahh....... kipanya kwenye ubora wakeUmemchora Mzee Abulrahman hapo, wewe mtu mbaya sana.

na mwando.sya teh tehUmemchora Mzee Abulrahman hapo, wewe mtu mbaya sana.
MarkYaap hata Lusinde hayupo salama kivile
Tasfiri yangu ni hii...
1/Daraja la kisiasa limejengwa kuruhusu wanasiasa kuhama kutoka chama kimoja kwenda kingine baina ya CCM na CHADEMA.
2/Mwelekeo wa hilo daraja unaonyesha kuna wepesi(Mteremko) zaidi kutoka CCM kwenda CHADEMA.
3/Mwelekeo wa daraja unaonyesha Uko imara zaidi kwenye kingo za upande wa CHADEMA kuliko upande wa CCM(Ukijenga picha kubwa kuwa ni salama zaidi kisiasa kuhamia CHADEMA ukitokea CCM kuliko kutoka CHADEMA kwenda CCM.
4/Mlingoti wa bendera wa CCM unaonekana umelegea, kuchoka na kuinama kiasi cha kutaka kuanguka, wakati wa CHADEMA uko imara zaidi. (Hii inatoa tafsiri kuwa, CHADEMA ina uungwaji mkono zaidi kijamii kuliko CCM au Kisiasa CHADEMA ndani wako imara zaidi kuliko CCM).
Nimemtambua huyo tu kwa sasa.Na Huyu mwingine ni nani?
Hivi kwa sasa chadema ni chama kubwa,eView attachment 622903
wataalam wa lugha za picha kazi kwenu
Umeona mbali m,babaLicha ya kwamba katikati ya hizo kambi mbili kuna daraja kuonyesha ni kuwa ni ruksa kuhamia upande wa pili, hebu angalia mchoro ulivyochorwa upande wa CCM uko juu (mwinuko) wa CHADEMA uko chini (bondeni). Inawezekana ni lugha inayoonyesha kuwa ni rahisi kushuka bondeni kuliko kupanda mlimani na kuna vingi vitakavyo teremka bondeni.
Na wahamiaji haramu kama wewe mjiandae kurudi kwenuNi kweli mafisadi hawajui keshoyao...safi JPM
Mtu mwoga hathubutu kupita kwenye daraja hilo kwenda upande wa pili. Ukiteleza ndio kwaheri.View attachment 622903
wataalam wa lugha za picha kazi kwenu
Tasfiri yangu ni hii...
1/Daraja la kisiasa limejengwa kuruhusu wanasiasa kuhama kutoka chama kimoja kwenda kingine baina ya CCM na CHADEMA.
2/Mwelekeo wa hilo daraja unaonyesha kuna wepesi(Mteremko) zaidi kutoka CCM kwenda CHADEMA.
3/Mwelekeo wa daraja unaonyesha Uko imara zaidi kwenye kingo za upande wa CHADEMA kuliko upande wa CCM(Ukijenga picha kubwa kuwa ni salama zaidi kisiasa kuhamia CHADEMA ukitokea CCM kuliko kutoka CHADEMA kwenda CCM.
4/Mlingoti wa bendera wa CCM unaonekana umelegea, kuchoka na kuinama kiasi cha kutaka kuanguka, wakati wa CHADEMA uko imara zaidi. (Hii inatoa tafsiri kuwa, CHADEMA ina uungwaji mkono zaidi kijamii kuliko CCM au Kisiasa CHADEMA ndani wako imara zaidi kuliko CCM).
mkuu umenifanya nirudi nikaangalie tena pichaTasfiri yangu ni hii...

mkuu kwani ile ni ngazi?tafsiri yangu,
chadema ipo chini na ccm juu, kwa hivyo ili chadema iweze kuifikia ccm kimafanikio, inatakiwa kuwa/kufanya kazi ya ziada (thats why kuna ngazi)
View attachment 622903
wataalam wa lugha za picha kazi kwenu
Ni rahisi kuserereka kutoka juu kwenye kijani kwenda chini kwenye bluu /nyekundu!View attachment 622903
wataalam wa lugha za picha kazi kwenu
Mimi na wewe tutapa sio hawa jamaa. Wanaohama kambi ni kutafuta kula tu. Hivi yuko wapi Mwapachu wa Acacia?CCM INAKUFA
Kama tunaitakia mema nchi yetu lazima tufurahie kuwa na upinzani makini. Ila huu upinzani uliopo mtihaniTasfiri yangu ni hii...

CCM INAKUFA