Na kawaida ya nyoka likiwa na njaa halichagui wa kumeza...maana yake likimaliza miti litaingia kwenye miili yao!
Lazima Kipanya atakuwa kwenye list ya wasiojulikana!...believe me!View attachment 890420[/QUOTEjoka la kibisa
linan'gata n'gaa, tutakoma miaka hii 7 iliyobaki maana yajayo yanahuzunisha zaidi
Nyoka was kijaniHii picha inahitaji mtu mwenye kuishughulisha akili yake bila kukurupuka,asante sana KipanyaView attachment 890751
Ulitaka macho yote yaonekane upande mmoja?
byebye upinzani.
hii ni fact chungu sana kwa wanaotegemea ugali upinzanini. Ila inaeleweka mapema kwa wasoma trend. Labda muujiza wa joka hilo kutoweka.
Wanaotegemea ugali upinzani si wanaunga mkono juhudi wanapewa mpunga...sidhani kama wana shida...!! Nyie makada ndio mtakufa njaa...!! Maana hata kama ww ni mbunge wa ccm 2020 huna uhakika wa kugombea tena maana mpitisha majina na mwenyekiti. Sasa endeleeni kushangilia upuuzi huu..
Ndio maana ikasemwa mapema, " kwa wenye uelewa tu"
Unafikiri Kipanya kashindwa kumchora kwa view ya mbele na macho yote mawili?
Jicho moja lina maana yake pana sana.
Hapa siyo soka
Inaonekana unafurahia sana 'kifo' cha upinzani ukifikiri upo kwenye vyama. Upinzani uko myoyoni na huo hauwezi kufa. Time will tell!byebye upinzani.
hii ni fact chungu sana kwa wanaotegemea ugali upinzanini. Ila inaeleweka mapema kwa wasoma trend. Labda muujiza wa joka hilo kutoweka.
Hilo ndiyo tatizo kubwa la wana ccm wanadhani upinzani ni kuvaa magwandaInaonekana unafurahia sana 'kifo' cha upinzani ukifikiri upo kwenye vyama. Upinzani uko myoyoni na huo hauwezi kufa. Time will tell!
Kipanya kweli ni kibokokila mtu na mtazamo wake
hayo ni maoni. Ila mimi nimetafsiri hilo joka la kijani. Sipendi tabia ya kufumba macho mchana kisha nihubirie watu kuwa ni giza kisa naogopa kufumbua nione mwanga. Kwa akili yangu nyembaba na nyororo upinzanu unamezwa na kuzimwa kabisa.Inaonekana unafurahia sana 'kifo' cha upinzani ukifikiri upo kwenye vyama. Upinzani uko myoyoni na huo hauwezi kufa. Time will tell!
byebye upinzani.
hii ni fact chungu sana kwa wanaotegemea ugali upinzanini. Ila inaeleweka mapema kwa wasoma trend. Labda muujiza wa joka hilo kutoweka.
UPINZANI sio CHADEMA na CUF tu . Upinzani ni zaidi ya tuujuavyo,unaweza kuwepo hata ndani ya CHAMP KIMOJA
hayo ni maoni. Ila mimi nimetafsiri hilo joka la kijani. Sipendi tabia ya kufumba macho mchana kisha nihubirie watu kuwa ni giza kisa naogoma kufumbua nione mwanga. Kwa akili yangu nyembaba na nyororo upinzanu unamezwa na kuzimwa kabisa.
Kwa Mujibu wa hilo joka lakini sio katiba.
hatujadili furaha, mkuu umeleta picha watu watafsiri alafu unawageuka na kuwaita CCM .Naona maccm mnafurahia kwa hayo yanayotakoke ili kuufuta upinzani hapa Tanzania
hatujadili furaha, mkuu umeleta picha watu watafsiri alafu unawageuka na kuwaita CCM .
hahaha
sawa. napiga vigeregere makusudi ili wapinzani wachukue hatua na kama wasipochukua watakinywea.Kwa mujibu wa mchango wako unajionyesha dhahiri shahiri kuwa unapiga vigeregere ili upinzani ufutike hapa Tanzania