Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

Yaàni shetani wa kijani ,

Kama siyo yanga , basi ni ccm
 
Kweli Twaweza walikuwa makini kwenye tafiti zao kuwa wengi wenu mmeishia std 1V
mkuu unatafsiri picha au comments zetu. nikisema ulikimbia umande wa chekechea ntakuwa nimekuonea mkuu kamanda wangu
 
Au faini Milioni 17,sababu wakala wa shetani hawatakiwi kunyimwa usingizi,
Kibonzo hicho kwa Rwanda ni miaka 7,bado kidogo tutacopy hizo sheria kutoka kwa role model wetu "kagame"!
 
Ni kawaida ya mifumo ya kijamaa utukuzwa fikra za MTU sio watu,kaa mbali utaliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…