Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

Njoo na sababu ya kwa nini iwe irrelevant usipinge kibavicha
Bavicha hawakauki mdomoni mwako hivi ni nini walikufanyaga hawa jamaa!?
Jieleze upatiwe msaada wa kisaikolojia!
 
Ofisini uaenda kunywa chai au kuhudumia wananchi?
Hiyo chai itanywewa muda wa mapumziko ya chakula, hawezi kuacha pesa ya chakula nyumbani na pesa ya kununua chakula akiwa kazini, hiyo chai na chapati atakunywa mchana ya asubuhi kanywa nyumbani
 
Bavicha hawakauki mdomoni mwako hivi ni nini walikufanyaga hawa jamaa!?
Jieleze upatiwe msaada wa kisaikolojia!
Do not hangaisha yourself. Tangu comment yake ya kwanza inaonyesha ana dalili za maradhi ya magufuliasis chatlelismia
 
Je nae amebadili gia angani au ili mradi watoto waende chooni?
 

Attachments

  • images (1).jpeg
    images (1).jpeg
    13.2 KB · Views: 59
Huo ndio ukweli ulivyo, ukikata tu mti na kuacha kisiki lazima mti utachipua tena, "muhusika" anatakiwa kuong'oa mpaka mizizi siyo tu kukata na kuacha shina. Kazi bado ipo sana!!!
 
Bado yanafikirika haya au ni watu wa matukio na mihemko kama kawaida??
 

Attachments

  • CLS-Z_gWwAAkYwP.jpeg
    CLS-Z_gWwAAkYwP.jpeg
    32.9 KB · Views: 57
Bado yanafikirika haya au ni watu wa matukio na mihemko kama kawaida??
Ni kama vile DAB kakumbatiwa na asiyejulikana! Mmmm, hili jiwe! DAB anasema kwa niaba yake na ya aliyekumbatiana naye kuwa "tunaomba mtuelewe tu"; hatuwezi kutengana!

Wa kugeuzwa geuzwa "kama chapati" wazoee maumivu kikaangoni!

Ha ha ha

Hii picha bana inaweza kuwa na maana yoyote ile; mchoraji ndo mjuaji, labda atuambie tu amaanishacho!
 
Je nae amebadili gia angani au ili mradi watoto waende chooni?
Hii picha inaweza kumaanisha kuwa
1.wananchi wanafata mkumbo wa kumpenda jiwe
2.wananchi hawana Elimu ya kutambua udikteta
3.wanalazimika kua upande wa dikteta
 
Back
Top Bottom